Dula Makabila aja na muonekano mpya wa kike

Dula Makabila aja na muonekano mpya wa kike

Dula Makabila msanii maarufu wa Tanzania wa miondoko ya Singeli ameamua kubadilisha muonekano wake asili wa kiume na kuja na muonekano mpya wa kike akiwa amevalia wigi la kike pamoja na glasss ya kike.

Dula anadai kuwa anafuata ushauri wa mpenzi wake aliye naye sasa na kila analomweleza basi yeye hufuata pasipo pingamizi.

Ikumbukwe kuwa Dula hajaanza leo hii michezo ya kupenda ukike alianza tangu atoe wimbo wake wa "Ningekuwa Demu" watu walidhani kuwa ulikuwa utundu wa kucheza na sanaa lakini kumbe alikuwa na lake jambo ambayo sasa analidhihirisha wazi.
View attachment 2671731
View attachment 2671732
Na Dulla kasoma Madrasa kabisa?
 
Anacho kitafuta atakipata, ningekua na mamlaka hakika huu upumbavu wanaouita singeri ninge ufutilia mbali kabisa, kazi yao kuhamasiha uhuni na ushoga washenziiiii kabisa hao [emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Mbna Bongo flavas pia ni hivyooo???
 
Singeli inakwenda samba na upinde
Mashog wengi ni mashabiki wa singeli....
Singeli imechkua nafasi ya taarab
Kupendwa na mashoga

Ova
Baadhi ya mashoga, sio woteee, wengine wako buzzy na RnB.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom