Dulla anapokea kipigo cha mbwa koko huko

Dulla hamna kitu

Kwanza mzito, Hana ngumi za fasta kama mwenzake

Pili hajui kumsoma mpinzani, Wala hajui kubadili style,na hajui anapigana style gani

Nasema huyu mkongo anajua orthodox vizuri naiona knock out hii hapa

Inshort dulla analazimisha kukaa ulingoni but game imemshinda mapema tu
 
Ni muda wa Dullah Mbabe kustaafu ngumi sasa.
Huyu Katompa ni shida, ana jabu kali balaa.
 
Ndiyo Ukweli Wenyewe
 
Nahisi hafanyagi mazoezi kabisa
 
mabondia wana pelkeshwa n mapromota.. una cheza fights nyingi kisa upat fedha ktk mda mfupi lzm uuwe kiwango.
Amepokea Kichapo Safi Akapumzike Atalala Usingizi Hoi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…