Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni muda wa Dullah Mbabe kustaafu ngumi sasa.Dulla hamna kitu
Kwanza mzito, Hana ngumi za fasta kama mwenzake
Pili hajui kumsoma mpinzana, Wala hajui kubadili style,na hajui anapigana style gani
Nasema huyu mkongo anajua orthodox vizuri naiona knock out hii hapa
Inshort dulla analazimisha kukaa ulingoni but game imemshinda mapema tu
Dulla hamna kitu

Mkongo Amempondaponda Dulla Oops Mpaka Udenda Anagalauka Chini TuNani mbabe kati yao?
Nahisi hafanyagi mazoezi kabisaDulla hamna kitu
Kwanza mzito, Hana ngumi za fasta kama mwenzake
Pili hajui kumsoma mpinzana, Wala hajui kubadili style,na hajui anapigana style gani
Nasema huyu mkongo anajua orthodox vizuri naiona knock out hii hapa
Inshort dulla analazimisha kukaa ulingoni but game imemshinda mapema tu
Mzito MnoNahisi hafanyagi mazoezi kabisa
Amepokea Kichapo Safi Akapumzike Atalala Usingizi Hoimabondia wana pelkeshwa n mapromota.. una cheza fights nyingi kisa upat fedha ktk mda mfupi lzm uuwe kiwango.
Haa HaaChips yai na soda unakuwaje strong sasa
Yeah, yani mapromota wameshajua mabondia wa tz wana njaa nao huwapelekesha tumabondia wana pelkeshwa n mapromota.. una cheza fights nyingi kisa upat fedha ktk mda mfupi lzm uuwe kiwango.
Ameweza Kusuka NyweleNimeng'atwa na mbuziiiii