Kila kukicha siku ya kufa inakaribia, binadamu hawafai na ndio maana hata yesu baada ya kufufuka alikimbiaAmepokea Kichapo Safi Akapumzike Atalala Usingizi Hoi
Pambano Round 12 Dulla Kapingwa Mpaka Kaona Nyota TuRaundi ya ngapi muda huu?
bondia ana wake wanne atamshinda nani ?Yani hutunzi mwili wako wewe Kama bondia halafu unategemea ndumba na kubebwa...
Duh!Chips yai na soda unakuwaje strong sasa
Alikimbia Walimwengu Nuksi HawafaiKila kukicha siku ya kufa inakaribia, binadamu hawafai na ndio maana hata yesu baada ya kufufuka alikimbia
Round 10Pambano Round 12 Dulla Kapingwa Mpaka Kaona Nyota Tu
Tatizo hamuwapi motisha kwa kuwashangilia, hivi mnafikiri ni timing na miguvu pekee inayomfanya ashindeYeah, yani mapromota wameshajua mabondia wa tz wana njaa nao huwapelekesha tu
ππRound 10
Round ya 10 na mkongo anaendelea kuchana ndomu,Round 10
Haa HaaAfile munu, asigale munu.
Limeisha mda tuRound ya 10 na mkongo anaendelea kuchana ndomu,
Aisee better run to save your soul that nigga is monster
Hii maana yake nini huwa sielewiAfile munu, asigale munu.
Mkongo kashinda?Limeisha mda tu
Eti akifa afe mtu,abaki mtuHii maana yake nini huwa sielewi
YepMkongo kashinda?
Haa HaaHana nguvu za miguu kama akina boko na msuva juzi miguu inatetemeka tuu sijui nini kimewakumba watanzania
Hii mechi jamaa ni kama kachezea nyumbani tu, pale jangwani kina yacouba na wenzake wamejaa, jamaa hakuona utofauti