Dulla anapokea kipigo cha mbwa koko huko

Hakuna cha dulla mbabe tena huwez itwa mbabe na umepigwa marambili mtawalia abaki tu kuitwa abdala pazi😀😀😀
 
Mijitu ya bara naona hilo neno la afile munu asigale munu mmelishikilia na kuliona labda lugha ya ajabu duniani,,, wakati nyie wenyewe milugha yenu mkiongea ka mzizi wa jiwe, aliyepigwa abdallah lkn naona lugha ndo inajadiliwa, acheni shobo
 
Mimi siyo bondia ni muuaji😀😀😀😀
Huku anauliwa.🤣🤣🤣
Kuna jamaa alitoka bongo huko boxer akaenda kutwangana Ukraine ama Russia kickboxing.
Round ya 1 alipigwa kitu teke moja akaunganishiwa na ngumi jamaa kadondoka kazima mazima.ukimuuliza atakujibu mpunga si uliingia😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…