steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 10,643
- 12,247
Sio vya kukaanga ,vya kuchemsha ni sawa kabisa,ila kibongobongo asilimia kubwa vinakaangwa na ndio sio vizuri kwa hilo ulisemaloKwa taarifa yako viazi ni wanga mzuri sana na vinautia nguvu mwili