Dulla kaachwa na Zai 🤣🤣🤣🤣

Dulla kaachwa na Zai 🤣🤣🤣🤣

So what?
Ukiwa unainba sengeli wewe ni wa kienyeji sana, usihangaike na classic chick's, hutodumu nao.
Kwa wakiwnyeji wenzako, dera ni vazi la kutokea, kwa ushuani dera ni vazi la kufanyia kazi za ndani, hata msibani hatuvaagi
Classic gani pale gazette la jioni
 
So what?
Ukiwa unainba sengeli wewe ni wa kienyeji sana, usihangaike na classic chick's, hutodumu nao.
Kwa wakiwnyeji wenzako, dera ni vazi la kutokea, kwa ushuani dera ni vazi la kufanyia kazi za ndani, hata msibani hatuvaagi
Jamani.
Asa Zai ana uclassic gani?
 
Dulla Makabila alipompata Zai mbwe mbwe kibao leo kiko wapi??🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Kwa ninavyoona haraka haraka Dulla ndiye aliyempenda Zai ila Zai wala hakuwa na mapenzi kihiiivyo Dulla.

Pia ukichunguza kwa makini Zai haikuwa akili ya kawaida ku date na Dulla ni ile kukurupuka baada ya kutengana na bwana wake ndipo akaangukia kwa Dulla tena ndani ya muda mchache mnooo.

Masikini Dulla ,rasta kanyoleshwa akaamliwa anyoe kipara akanyoa,wigi kaveshwa lakini bado kapigwa kibuti 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Jamaa alikuwa kama zezeta kwa Zai , mwenyewe utamkuta kwenye show anawaambia mashabiki zake "Nikisema Zaiii mnasema Lisa,Zai Lisaaa ,Zai Lisaaa " leo sijui itakuwaje maana ana show lakini amejawa na mawazo mno.

View attachment 2696399
Chai
 
Zai Hana uclassic wowote Sema tu kapata bahati ya kuigiza tamthilia za lamata Baasi,ila WA uswazi tu kama Wengine
Sema Zai ndo ana shidaa ndoa tatu zote zimemshinda kaahh
Sure ni demu wa uswahilini tuu hata muonekano wake unaonyesha hvyo

Kama kashindwa ndoa tatu ..kuna shida mahali
 
Sina wasi wasi na huko kuachana kwao maana ni mambo ya kawaida kuachana!
Wasi wasi wangu ni endapo mtoa mada ni mwanaume 🙆🙆
 
Back
Top Bottom