reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
[emoji1787][emoji1787]Huyo Zai ndo huyoo kwenye paja lililokomaa kama Skudu au
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787]Huyo Zai ndo huyoo kwenye paja lililokomaa kama Skudu au
Alishawahi kuvaa,Mapenzi ni ugonjwa wa akili ilibaki kidogo avalishwe dela
Kidogo avalishwe bikiniAlishawahi kuvaa,
Zai Hana uclassic wowote Sema tu kapata bahati ya kuigiza tamthilia za lamata Baasi,ila WA uswazi tu kama Wengine
Sema Zai ndo ana shidaa ndoa tatu zote zimemshinda kaahh
Ila wanaume wa Dar mna matatizo sana,uandishi umekaa kiumbea umbea
Za chini chini inasemekana Zai anatoka kimapenzi na Rommy Jones (RJ).
Huyo Zai ndo huyoo kwenye paja lililokomaa kama Skudu au
Huyu Hans humjui?ni mbeya mbeya flan hivi
Yaaani Ndoa imefanyika Charambe Huko uswahili kabisaa,yule anaonekana mswazi afu mswazi Tena....!!!
Ana mdomo Sanaa ,Yaani ni kichefu chefu hasaaa....kapata tu uzuri wa wastani wa kuonekana mjini Baasi Tena kamaliza Kazi!!
Kaolewa mara zote anaachwa Kwa mdomo maana anachezea vipigo balaa
chai
Zai mwenyewe nyapu inasoma 120000 km
HIZI NDOA ZA ELFU AROBAINI NAZO NI NDOA?
Sema huo upaja wa hiyo ni kama wa Msuva.!
ChaiDulla Makabila alipompata Zai mbwe mbwe kibao leo kiko wapi??🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwa ninavyoona haraka haraka Dulla ndiye aliyempenda Zai ila Zai wala hakuwa na mapenzi kihiiivyo Dulla.
Pia ukichunguza kwa makini Zai haikuwa akili ya kawaida ku date na Dulla ni ile kukurupuka baada ya kutengana na bwana wake ndipo akaangukia kwa Dulla tena ndani ya muda mchache mnooo.
Masikini Dulla ,rasta kanyoleshwa akaamliwa anyoe kipara akanyoa,wigi kaveshwa lakini bado kapigwa kibuti 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Jamaa alikuwa kama zezeta kwa Zai , mwenyewe utamkuta kwenye show anawaambia mashabiki zake "Nikisema Zaiii mnasema Lisa,Zai Lisaaa ,Zai Lisaaa " leo sijui itakuwaje maana ana show lakini amejawa na mawazo mno.
View attachment 2696399
Tumefuata kuona kituko cha mwanaume wa Dar tena anayeshinda gym kuwa mmbea na mwenye character za kike.Wewe ambaye sio mbea umefata nini humu?