Dulla Mbabe amtandika mchina Knockout raundi ya kwanza, Msauzi agoma kuzipiga na Cheka

Utakuwa hujanielewa. Hapo mbongo kampiga mchina.. Hata jana kwenye pambano watu walikuwa wanasema kuwa huyu mchina gani kaletwa kapigwa sekunda ya 48. Anatoka china kweli au ni muuza viatu wa kkoo.
Mkuu we kichwa ngumu sana ee
Umeanza vizuri ila hapo mwisho wa komenti yako umeharibu ,ifute haraka sana
 
bondia gani anapigwa KO raundi ya kwanza😀
Mike Tyson katika historia zake amefanya zaidi ya Dula mbabe KO raundi ya kwanza tu
Sekunde ya 48
Marvis Frazier KO 1 (10), 0:30
Lou Savarese TKO 1 (10), 0:38
Clifford Etienne KO 1 (10), 0:49
Sekunde sio ishu ona baadhi ya mechi alizoshinda Mike Tyson [emoji115] [emoji115]
 
Utakuwa hujanielewa. Hapo mbongo kampiga mchina.. Hata jana kwenye pambano watu walikuwa wanasema kuwa huyu mchina gani kaletwa kapigwa sekunda ya 48. Anatoka china kweli au ni muuza viatu wa kkoo.
Mkuu we kichwa ngumu sana ee

me nimekuelewa sana
 
Huyo hana tofauti na jaja alivyoletwa yanga .jaja alikuwa muuza madafu kule Brazil

Huyu mchina atakuwa wa kwenye magodown kule kariakoo ase ..

Mungu anawaona nyie akina yassin ustaadh
 
Mike Tyson katika historia zake amefanya zaidi ya Dula mbabe KO raundi ya kwanza tu

Marvis Frazier KO 1 (10), 0:30
Lou Savarese TKO 1 (10), 0:38
Clifford Etienne KO 1 (10), 0:49
Sekunde sio ishu ona baadhi ya mechi alizoshinda Mike Tyson [emoji115] [emoji115]
Hata uwawekee nini hawatokuelewa mkuu ila dulla angepigwa ndio wangefurahi.
 
Huyo hana tofauti na jaja alivyoletwa yanga .jaja alikuwa muuza madafu kule Brazil

Huyu mchina atakuwa wa kwenye magodown kule kariakoo ase ..

Mungu anawaona nyie akina yassin ustaadh
hahahahaa
 
Nmeisoma hyo habar yako naona imeandikwa sawa kabisa na alichokisoma mtangazaj wa chanel ten
 
Back
Top Bottom