brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
Umeanza vizuri ila hapo mwisho wa komenti yako umeharibu ,ifute haraka sanaUtakuwa hujanielewa. Hapo mbongo kampiga mchina.. Hata jana kwenye pambano watu walikuwa wanasema kuwa huyu mchina gani kaletwa kapigwa sekunda ya 48. Anatoka china kweli au ni muuza viatu wa kkoo.
Mkuu we kichwa ngumu sana ee