brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
Umeanza vizuri ila hapo mwisho wa komenti yako umeharibu ,ifute haraka sanaUtakuwa hujanielewa. Hapo mbongo kampiga mchina.. Hata jana kwenye pambano watu walikuwa wanasema kuwa huyu mchina gani kaletwa kapigwa sekunda ya 48. Anatoka china kweli au ni muuza viatu wa kkoo.
Mkuu we kichwa ngumu sana ee
Poa brigedia ngoja niifuteUmeanza vizuri ila hapo mwisho wa komenti yako umeharibu ,ifute haraka sana
Pakiwa na kosa kupigana ndio sio dhambi???Dhambi hizi!
Kwanin wapigane bila kosa aisee?
Mike Tyson katika historia zake amefanya zaidi ya Dula mbabe KO raundi ya kwanza tubondia gani anapigwa KO raundi ya kwanza😀
Marvis Frazier KO 1 (10), 0:30Sekunde ya 48
Hii tabia ya kuleta vinyozi kupigana haitaendeleza huu mchezo.
Utakuwa hujanielewa. Hapo mbongo kampiga mchina.. Hata jana kwenye pambano watu walikuwa wanasema kuwa huyu mchina gani kaletwa kapigwa sekunda ya 48. Anatoka china kweli au ni muuza viatu wa kkoo.
Mkuu we kichwa ngumu sana ee
Unaonekana huna unachokijua kuhusu ngumibondia gani anapigwa KO raundi ya kwanza😀
Umeua ujue ina maana jamaa hawana viwango!Hii tabia ya kuleta vinyozi kupigana haitaendeleza huu mchezo.
Promota mwenyewe,jina lake Msangi.fulu sanaa,na sidhani kama wamelipwa,maana yule bondia mwingine kachomoa..Hii tabia ya kuleta vinyozi kupigana haitaendeleza huu mchezo.
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Hii tabia ya kuleta vinyozi kupigana haitaendeleza huu mchezo.
Hawa ni professional Boxers!!Dhambi hizi!
Kwanin wapigane bila kosa aisee?
Pambano la kwanza la ubingwa, Tyson alimpiga bingwa mtetezi (Heavy weight)Trevor Berbick round ya kwanzabondia gani anapigwa KO raundi ya kwanza😀
Kuna mtu mzima aliyebalehe dunia hii sio kinyozi?au mkuu wewe hua hunyoi mavu........zHii tabia ya kuleta vinyozi kupigana haitaendeleza huu mchezo.
Hata uwawekee nini hawatokuelewa mkuu ila dulla angepigwa ndio wangefurahi.Mike Tyson katika historia zake amefanya zaidi ya Dula mbabe KO raundi ya kwanza tu
Marvis Frazier KO 1 (10), 0:30
Lou Savarese TKO 1 (10), 0:38
Clifford Etienne KO 1 (10), 0:49
Sekunde sio ishu ona baadhi ya mechi alizoshinda Mike Tyson [emoji115] [emoji115]
Promota mwenyewe,jina lake Msangi.fulu sanaa,na sidhani kama wamelipwa,maana yule bondia mwingine kachomoa..
hahahahaaHuyo hana tofauti na jaja alivyoletwa yanga .jaja alikuwa muuza madafu kule Brazil
Huyu mchina atakuwa wa kwenye magodown kule kariakoo ase ..
Mungu anawaona nyie akina yassin ustaadh