Dullah Planet aaga rasmi EATV

Dullah Planet aaga rasmi EATV

Simjui dulla, nawajua watangazaji wenye hadhi ya utangazaji, wakati Ivona Kamuntu anahama Star TV alifanya Press Mlimani city??

Baruan Muhuza amekaa over 15+ RFA alifanya sherehe na matangazo anapohamia Azam

Hao wahuni wenu mnawajua nyinyi wavaa Supra na Vest mitaani
Na ndio mana nimekuambia wewe nimpumbavu unaejikuta unajua kila kitu kusema humjui dulla ambua aliyefanya kazi kituo cha eatv miaka 15
 
Damu yangu Sana huyo Jamaa , kipindi nipo Bukoba nilikuwa nasikiliza planet bongo kwa Sana na nilikuwa namkubali Sana Sami misago kinoma noma Sasa sijui huwa inakuaje hapa Kati hivi vipaji vinapotea .Sam misago sijui alipatwa na Jambo gani yaani.
Mnywanyi wange Ulige??
 
Na ndio mana nimekuambia wewe nimpumbavu unaejikuta unajua kila kitu kusema humjui dulla ambua aliyefanya kazi kituo cha eatv miaka 15

Mpumbavu lazima amjue mpumbavu mwenzie, wapumbavu wawili wakikutana ni jambo jema.

Sasa moumbavu mwenzangu, unadhani kila mtu anamjua Dullah??

Dullah mnamjua nyie wavaa viduku
 
Mpumbavu lazima amjue mpumbavu mwenzie, wapumbavu wawili wakikutana ni jambo jema.

Sasa moumbavu mwenzangu, unadhani kila mtu anamjua Dullah??

Dullah mnamjua nyie wavaa viduku
Mzee mzima umri umekutupa acha kubishana na vijana mitandaoni
 
Back
Top Bottom