Dullah Planet aliyeacha kazi EATV sasa rasmi ahamia CROWN FM ya Ali Kiba

Ila sijui may be kuna kitu kakiona Crown ila si juzi alikuwa eFM na nilisikia sauti yake kwenye radio akitangaza habari au ndio washashindwana?

Maana niliona video post insta akiwa kwenye studio za Crown.
Siamini kama Salim Kikeke anaweza kuwa mediocre kiasi hicho.

Kuna rafiki ni daktari wa binadamu Uingereza basi akipata likizo ya kuja Bongo huwa anaomba kwenda kufanya volunteer kwenye hospitali ya serikali, yani likizo yake atumie huku anaokowa na maisha ya binadamu.

Sasa maybe Salim Kikeke labda anapitia humo kuchamba mdomo Tu na kushare experience, hakuna redio ya kumlipa mshahara Kikeke labda Azam Media peke yake ndio wenye jeuri hiyo.

Naamini Kikeke ameahidiwa kitu serikalini sasa hivi anabuy time tu, binafsi naamini hivyo.
 
Tonge Nyama
Acha Akafanye KaZi Ila Hakuna Jipya Utaniambia Soon
 
Redio za kujifunza zipo huko nanjilinji
Huon Farhan alianizia huko iringa cjui na Millard,dinnamarious hawa wote walianzia uchochoron ndo wakaja barabran Kwahyo wanaotoka chuo waaanzie huko huko
Kuna yule Manzi na Mshikaji waliofariki kwa ajali huko Lindi yote kulitafuta tonge la ugali Samaki mezani
 
Unaenda kucheza uefa unamsajili Aziz Ki? Hauko serious
 
Naskia anatakiwa kulamba ukurugenzi TBC ana buy time tu
 
Kachukue wasomi wa CIvil pale UDSM uwaachie Daraja kama la kigamboni, mwanzo mwisho halafu uone kitakachotokea.
 
Dullah kasomea wapi mkuu?Media ethics kafunzwa na kina Salama Jabiri.Media skuizi zinahitaji mtu anayejua kuongea tu wenye degree zao wanafungia maandazi,fanya uchunguzi utaona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…