Kwangu mimi nafikiri tatizo ni zaidi ya hizi tunzo... anayepata wasaha ya kuwasikiliza Dulla na wenzie kule planet bongo ataelewa kuwa wana lao zaidiTatizo watu mna miss-interprete alichokisema diamond.
Mnazunguka tu ukweli ni kuwa hawapigi nyimbo zake sababu halisi wao kama EATV hawajasema ni nini...
Lakini siyo mara ya kwanza waliwahi kuwa na tatizo na diamond mwaka jana nadhani wakayamaliza hadi akafanyiwa exclusive ya planet bongo kipindo kizima alihojiwa diamond tu na host alikiwa bell 9, bado diamond na rayvanny wakafanyiwa mahojiano FNL kipindi hicho ndipo walikuwa wameanza toa form za tuzo.
Diamond kwenye FNL akaulizwa kuhusu tuzo akasifia na akasisitiza wasanii wachukue form na akasifia utaratibu wa kujipendekeza ila wao baada ua hapo hawakuchukua hizo form.
Sasa kama sababu ndiyo hiyo basi EATV wanazingua waondoe kipengere cha kujipendekeze wawe wanawapendekeza wao maana huwezi nipa uhuru wa kujipendekeza halafu nisipochukua form unune.
basi kama walitaka hivyo wasingeliweka utaratibu wa kujipendekeza walitakiwa kuweka utaratibu wa mashabiki kupendekeza...Iyo ndo ilichochea zaid mkuu..sabb eatv walitaka kumaliza ubishi au.kushindanisha zile tuzo kati ally kiba na diamond pia wasafi walitoa maneno sio mazur kwa.uongozi wa eatv ple.walipoombwa kushiriki uchukuaji form
Hicho ni chombo cha biashara na sio cha msaada, unakosea sana kumu attack mtu, dullah ni presenter tu sio mkuu wa vipindi, hana mamlaka hayo, usifikiri kwamba watangazaji wanaamua tu kupiga nyimbo au kutopiga, kila nyimbo inayoenda hewani na imeenda mara ngapi per day inakuwa counted, media zote kubwa huwa zina watu wanaondaa playlist, Dulah anaongea kile tu alichoambiwa aongee, sijui kama unafahami jinsi media zinavofanya kazi.
Anyway, Clouds wana karibia miaka mitano tangu waache kupiga nyimbo za lady jaydee, ni uhamuzi wao lakini media zingine zinapiga, mbona hulalamiki redio imani hawapigi nyimbo ya msanii yoyote? Hayo ni maamuzi ya media husika na sio lazima......kumbuka pia maneno ya diamond aliyoyasema kuhusu eatv na earedio, aliongea shit kwa vile ye ni msanii mkubwa na akajiona ni mkubwa kuliko hiyo media, so ulitaka eatv wafanyeje? Wakampigie magoti au wakamuombe awape nyimbo zake wapige?
clouds ya bashite mbona za jaydee hawapigi umeona nani analialia?? Mwanaume tuliza kende
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Lakini kuishinda hiyo tuzo ya nje ya ukumbi ukitokea east africa kwa wenzako huku kwa mtogore siyo mchezo...
Hata akina wizykid bado wanashindania hizo hizo tuzo za nje ya ukumbi japo wamepiga collabo na akina drake, chrisbrown et el
Pambana na hali yakoWizkid huwa haombi hata kura wala kuhudhuria hizo tuzo za sebreni, please mpe heshima yake. Kama serikali yenyewe tu imezidharau , sembuse earadio
Pambana na hali yakoEti bana, unapewa tuzo ya nje ya ukumbi unaviiimba...wakati kuna Wasanii kibao bongo wana Matuzo ya ukumbini, Wasanii kama.............kama................, hebu nikumbushe majina ya waliowahi kupata tuzo za ndani BET nimalizie komenti yangu.
Pambana na hali yako
Pambana na hali yako
Ushawahi msikia mond akilalamika kuhusu nyimbo zake kutopigwa EAradio/TV.......wewe c bure umetumwa
diamond pia Ana maneno machafu yani akikaaga mbali na washauri wake kidogo tu anaongeaga kama kinagigy money tu
alivyosema kwa sasa hategemei sana tv na radio aliwaza Mara mbili
mpelekee salama diamond mwambie kamwe asishindane na media yeye ndo ataloose weather anataka au hataki abalte na kina ney
Chuki haikisaidii, pambana na hali yakoHali gani we fukara?
bro sikubaliani nawewe diamond hakushiriki tuzo za Eatv coz alikua Na contract Na voda Na ni balozi WA voda kiutaratibu hakupaswa yeye wala timu yake ya Wasafi kiashiriki Ni utaratibu WA kawaida huo.NI Kama coca wakiwa Na bahati nasib zao wanakuambia kabisa wafanyakazi Na familia zao hawapaswi kushiriki,hii Ni kwa uelewa wangu mdogo.Bifu laweza kua Na sabanu nyingi ambazo sisi watazamaji hatuzifaham.Someni hiki na muelewe...
Eatv walianzisha Tuzo za Watu .. Neno lao lilikuwa Jipendekeze.. (Maana ake jipendelee wewe maana wao wakichagua itaonekana wamepanga) wasanii wengi walijitokeza kwenda kuchukua form wakajipendejeza kwenye vipengele walivoona vinafaa.. Hao wauza karanga wakajiona wao watabembelezwa .. Walipigiwa simu mara nyingi tu kwa ajili ya uwepo wao.. Mameneja nao wakajifanya ni mameneja pesa .. Mwisho wake tuzo zikafika wao hawakuchukua form ikaonekana wana dharau kile kinachoanzishwa kwa ajili ya wasanii sababu wao wanajiita intaneshino.. Wakapigwa Ban izo ni taratibu tu za chombo cha habari ukijifanya wewe mjuaji wao wanajua sana.. Dula hasilaumiwe yuko kazini..
Ova