Dullah Planet(EARADIO/EATV) weka wazi WCB wamekukosea nini?

Dullah Planet(EARADIO/EATV) weka wazi WCB wamekukosea nini?

Si walisema watu wajipendekeze sasa wao kama hawakuona kuwa wanafaa kushindanishwa kuna tatizo?
Ina maana ni wao tu ambao hawakuchukua form, mbona wasanii wengi hawakuchukua kwanini iwe wcb tu ndiyo waonekane wamefanya kosa?
hata mimi nimeshangaa
 
Hawa eatv/radio na WCB ulianzia tokea kwenye zile tuzo zao eatv awards zilizofanyika mwaka jana Dec,..sabb wasafi.hawakushiliki ktk zoez lao la tuzo km walisusia iv sasa kile kitendo kiliwauzi wale jamaa eatv ndomana mpk leo si tv wala redio wanapiga nyimbo zao.
Hivi ni wasafi pekee hawakushiriki? halafu kama ni mfatiliaji kabla ya hizo tunzo walikuwa na mgogoro na Diamond...
 
Hatupangiwi kazi,Kodi yulipe sisi,kuajiri tuajiri sisi,Alafu utupangie nyimbo upendazo? Rudi kwenu matombo kachague nyimbo kwenye ile redio jamii!

Eti za Diamond na WCB!
Basi waaache kabisa sio wawe wanafiki
 
Someni hiki na muelewe...

Eatv walianzisha Tuzo za Watu .. Neno lao lilikuwa Jipendekeze.. (Maana ake jipendelee wewe maana wao wakichagua itaonekana wamepanga) wasanii wengi walijitokeza kwenda kuchukua form wakajipendejeza kwenye vipengele walivoona vinafaa.. Hao wauza karanga wakajiona wao watabembelezwa .. Walipigiwa simu mara nyingi tu kwa ajili ya uwepo wao.. Mameneja nao wakajifanya ni mameneja pesa .. Mwisho wake tuzo zikafika wao hawakuchukua form ikaonekana wana dharau kile kinachoanzishwa kwa ajili ya wasanii sababu wao wanajiita intaneshino.. Wakapigwa Ban izo ni taratibu tu za chombo cha habari ukijifanya wewe mjuaji wao wanajua sana.. Dula hasilaumiwe yuko kazini..

Ova
Hivi ni wao pekee ndio hawakuchukua fomu? niweke wazi
 
Hivi ni wasafi pekee hawakushiriki? halafu kama ni mfatiliaji kabla ya hizo tunzo walikuwa na mgogoro na Diamond...
Iyo ndo ilichochea zaid mkuu..sabb eatv walitaka kumaliza ubishi au.kushindanisha zile tuzo kati ally kiba na diamond pia wasafi walitoa maneno sio mazur kwa.uongozi wa eatv ple.walipoombwa kushiriki uchukuaji form
 
...Dullah anapiga mizinga ya heshima hapa kwa wenye Bongo Flavour yao,
.hayo majungu kaongee na dada zako!
 
Someni hiki na muelewe...

Eatv walianzisha Tuzo za Watu .. Neno lao lilikuwa Jipendekeze.. (Maana ake jipendelee wewe maana wao wakichagua itaonekana wamepanga) wasanii wengi walijitokeza kwenda kuchukua form wakajipendejeza kwenye vipengele walivoona vinafaa.. Hao wauza karanga wakajiona wao watabembelezwa .. Walipigiwa simu mara nyingi tu kwa ajili ya uwepo wao.. Mameneja nao wakajifanya ni mameneja pesa .. Mwisho wake tuzo zikafika wao hawakuchukua form ikaonekana wana dharau kile kinachoanzishwa kwa ajili ya wasanii sababu wao wanajiita intaneshino.. Wakapigwa Ban izo ni taratibu tu za chombo cha habari ukijifanya wewe mjuaji wao wanajua sana.. Dula hasilaumiwe yuko kazini..

Ova
Hapa sasa ndyo nimeelewa vzur sana,nakumbuka tuzo hzo niliziangalia nikiwa chuo na 'Salama J' ndye aliyekuwa mc,kiukweli Wcb walipaswa kuona kuwa wamekosea na kuuomba uongoz was eatv/ea- radio msamaha ili maisha yaendelee
 
Hicho ni chombo cha biashara na sio cha msaada, unakosea sana kumu attack mtu, dullah ni presenter tu sio mkuu wa vipindi, hana mamlaka hayo, usifikiri kwamba watangazaji wanaamua tu kupiga nyimbo au kutopiga, kila nyimbo inayoenda hewani na imeenda mara ngapi per day inakuwa counted, media zote kubwa huwa zina watu wanaondaa playlist, Dulah anaongea kile tu alichoambiwa aongee, sijui kama unafahami jinsi media zinavofanya kazi.

Anyway, Clouds wana karibia miaka mitano tangu waache kupiga nyimbo za lady jaydee, ni uhamuzi wao lakini media zingine zinapiga, mbona hulalamiki redio imani hawapigi nyimbo ya msanii yoyote? Hayo ni maamuzi ya media husika na sio lazima......kumbuka pia maneno ya diamond aliyoyasema kuhusu eatv na earedio, aliongea shit kwa vile ye ni msanii mkubwa na akajiona ni mkubwa kuliko hiyo media, so ulitaka eatv wafanyeje? Wakampigie magoti au wakamuombe awape nyimbo zake wapige?
Tunajua kwnn clouds hawakupiga nyimbo kwa kipind hicho chote.. lkn hatujua kwann eatv na radio yake hawpigi nyimbo za diamond na wcb.. upo?
 
Umeongea kwa jinsi vile uelewa wako ulivyofikia kikomo cha kuelewa si vibaya kila mtu ana uhuru wa kuongea,lakini JITAHIDI SANA KUJUA UKWELI KULIKO KUPELEKWA NA HISIA,TATIZO SI KUTOKUPIGA NYIMBO ZAO (maana hiyo ipo duniani kote msanii ukizinguana na media wenyewe hawachezi nyimbo zako) ILA TATIZO LA HAWA JAMAA WANAPENDA SANA TENA SANA KUONGELEA HABARI ZA ZA UONGO KUHUSU WCB,LAKINI ZILE ZA UKWELI NA NZURI HAWAONGELEI,SASA KAMA UMEAMUA KUTOKUPIGA NYIMBO ZANGU KWANINI UNIONGELEE TENA UNANIONGELEA KWENYE MABAYA TU AMBAYAO SI YA KWELI MBONA MAZURI YANGU UYAONGELEI ????
Sasa wewe umepinga tu si uongee ukweli wako sasa
 
Dulla hausiki kwenye hilo tatizo ni la kimenejiment kumbuka hawa jamaa wamewahi kuandaa tuzo la wcb walichomoa kushiliki hizo tuzo tatizo lilianzia hapo
Nafikiri hii ndo fact.. na hapa ndipo tatizo lilianzaa
 
Someni hiki na muelewe...

Eatv walianzisha Tuzo za Watu .. Neno lao lilikuwa Jipendekeze.. (Maana ake jipendelee wewe maana wao wakichagua itaonekana wamepanga) wasanii wengi walijitokeza kwenda kuchukua form wakajipendejeza kwenye vipengele walivoona vinafaa.. Hao wauza karanga wakajiona wao watabembelezwa .. Walipigiwa simu mara nyingi tu kwa ajili ya uwepo wao.. Mameneja nao wakajifanya ni mameneja pesa .. Mwisho wake tuzo zikafika wao hawakuchukua form ikaonekana wana dharau kile kinachoanzishwa kwa ajili ya wasanii sababu wao wanajiita intaneshino.. Wakapigwa Ban izo ni taratibu tu za chombo cha habari ukijifanya wewe mjuaji wao wanajua sana.. Dula hasilaumiwe yuko kazini..

Ova
Okay..ukinipiga ban basi usiniongelee piaa.. kwnn uniongeleeeeee? Tena kinafikiii
 
Ea radio daah hakuna redio yenye power tz hii kama ea..yaan ina frequency moja matata uki tune tuu unajua hapa niko wapi kama umetia flash...asee wanamitambo hawajamaa..ndio ufananisha na huo upuuzi efm, sjui clauz sauti haijulikani kama inatoka kwenye mtungi au redioni hapo inafuata capital redio..
 
wanalizimisha maji kupanda mlima walitaja washindi wa BET rayvanny hakutajwa .....wanachuki za kina bashite
inaweza kuwa au si kweli ila ile tuzo ya van unapewa nje ya ukumbi yani hata kwenye live perfomance ya watu wa tuzo ile bet hawajawaweka it means bet wao ile ni tuzo isiyo na mashiko
 
bro hoja yako inaukweli lakin kusema dilla ndo chanzo sio kweli!inakua kilichomuondoa dj mafuvu eatv?.issue ulikua Ni utatatibu WA eatv kuwa Na playlist Yao hutakiwi kupoga wimbo ambao haupo kwenye playlist Yao,mafuvu alikiuka Na akaonekana mtovu WA nidham akapigwa chin,ishu ni uongoz Na sio dula
alipiga ngoma gani daaah jamaa nimemmis mno... bonge la dj
 
Ea radio daah hakuna redio yenye power tz hii kama ea..yaan ina frequency moja matata uki tune tuu unajua hapa niko wapi kama umetia flash...asee wanamitambo hawajamaa..ndio ufananisha na huo upuuzi efm, sjui clauz sauti haijulikani kama inatoka kwenye mtungi au redioni hapo inafuata capital redio..
naunga mkono hoja hawa jamaa kama antena yako chenga huwapati kamwe sijui mitambo yao ni digital ile maana hata sauti haifananiii na redio zingine kabisa ukiwa unasikiliza
 
Nimefanya utafiti na nimegundua kuwa Dullaha ndio chanzo kikuu kwa nyimbo za WCB kutopigwa kwenye vituo vyao..
Siku ya birthday ya dullah alichagua wimbo wa diamond wakaupiga, pia kumbukeni huyo diamond mwenyewe alishasema hategemei nguvu ya vyombo vya habari unategemea watampa airtime hata mimi siwezi, pia kupigwa kwa wimbo kunategemeana na djs, producer wa kipindi na idara ya muziki kama DJ Kim na wengine sidhani kama ni haki kumlaumu dullah
 
Back
Top Bottom