Dully Sykes acha ubaguzi

TID mwenyewe kabaki kichwa kikubwa mwili mdogo kama siafu.
 
TID kadanganya, nakumbuka kisa hiki ni sababu tid alimwambia dully pale kinondoni wee dully mjanja mzima unatembelea gari la kizamani brevis, dully akamaind akamwambia tena kwenye video yako sifanyi, kweli baada ya siku kadhaa dully akiambiwa kuhusu video akawa anamjibu kunya tid, tid alichokifanya ani kwenda studio tena akafuta verse ya dully akaweka verse yake nyingine kwahiyo nyimbo hiyo confidence sasa hivi ipo sauti ya tid na joh makini tuu dully kafutwa
 
Duuh, inaonesha gem ya muzik inamabifu meng sana ya chinchin
 
Uongo huu umeletwa kwa msaada wa watu wa Marekani.
 
TID naye malalamiko kwa wasanii wenzake daily hayaishi... dully naye apunguze tabia zake za kike kwanza kafunikwa mbaya kwenye hiyo ngoma ya confidence
 
arusha imewakosea nini hawa watoto wa mama
Dully wakawaida kuna siku nilikuwa Na wana Pin Point club.DJ kamtambulisha duly alikuwa amekaa kwenye kochi anakunywa na marafiki zake.Siunajuaa machali wa ARA hawa kumake some noise.Sipati picha angeluwa Spack Dawg katambulishwa.Chuga ukijifanya mjuaji watu wanakuvungia.
 
TID naye malalamiko kwa wasanii wenzake daily hayaishi... dully naye apunguze tabia zake za kike kwanza kafunikwa mbaya kwenye hiyo ngoma ya confidence
Tid ameshafuta verse na sauti yote ya dully kwenye ule wimbo confidence, kama unataka kuusikia ni check whatsapp kwa namba hii 0787535430 nikutumie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…