OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hivi hawa watu huwa wameenda shule kusomea au wanaokotwa tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wapo sahihi, ile ni media sio kijiwe cha wahuni. Kwa mada yao walitakiwa kuongelea issues na sio watu.Ewaaa, hata mimi nimeshangaa sana, nilitegemea waje na hoja kwamba chidi anasingiziwa
Nliskia Chidibenz amepelekwa tena sober, Mara ya mwisho namuona Msasani Maandazi road, hali yake ilikua mbaya sanaTwende mbele turudi nyuma ila huyu mwamba wa dar es Salaam stand up anahitaji msaada .
Na msaada sio kumng'ong'a mitandaoni live ni vyema kumface na kumpa msaada.
Nimemuelewa sana dully amemjibu kigentleman.
Dully inabidi naye amsaidie huyo mshkaji wake ilii asiwe anasemwasemwa vibaya
Kumuuliza Dully madawa anayo tumia msanii mwenzie ni kumtega! Dully atayajuaje? Vijana sio vizuri kuharibiana sifa.Watu wapo sahihi, ile ni media sio kijiwe cha wahuni. Kwa mada yao walitakiwa kuongelea issues na sio watu.
Halafu imagine anauliza eti Chid anatumia madawa gani, aaaahhhh swali gani hili mpuuzi huyo
Waswahili kltukiambiwa ukweli tunaita matusi.Wote Dully na Soudy wanamakosa.
-Hauwezi kutukana On Air ,mwanzo alijibu vizuri tu kwamba sijui angeendelea tu na msimamo wake vile vile ,angeuliza tena angemjibu tu hilo swali ulipaswa umuulize chidbenz mwenyewe basi.
Watangazaji wanapenda kuuliza maswali ya kuku-provoke wasanii mateja wapo tu wengi ilitakiwa aulize in general na si kum-mention chid.
Kuna watu hawasaidiki. Kumsaidia Teja ni shughuli pevuTwende mbele turudi nyuma ila huyu mwamba wa dar es Salaam stand up anahitaji msaada .
Na msaada sio kumng'ong'a mitandaoni live ni vyema kumface na kumpa msaada.
Nimemuelewa sana dully amemjibu kigentleman.
Dully inabidi naye amsaidie huyo mshkaji wake ilii asiwe anasemwasemwa vibaya
Nimekuja kujifunza kwamba kutokuzeeka ni intentional effort ambayo mtu anapaswa kuwa amekusudia kabisaaaa ili aweze ku age with grace. Wengi tuna take for granted afya zetu tukijua kwamba mwili utaji take care wenyewe.Jamani Dully mbona hazeekii?? Udongo gani huo....
Yuko kama wine inazeeka na ubora wake...
hawa kuwa ni asili tu ya ukoo hawazeeki mapema..kuna wazee wana miaka 80-90 bado wanapiga jogging taratibu wengine mungu kawapendeleaJamani Dully mbona hazeekii?? Udongo gani huo....
Yuko kama wine inazeeka na ubora wake...
NI KWELIhawa kuwa ni asili tu ya ukoo hawazeeki mapema..kuna wazee wana miaka 80-90 bado wanapiga jogging taratibu wengine mungu kawapendelea
Hajali kuhusu hisia za mtu yeye anafanya jokes na maisha ya mtu on AirHizo kazi zinasomewa, watu wanajua ethics, saikolojia, falsafa, mambo mengi.
Mtangazaji hajui huu ni ugonjwa, kuna mambo ya faragha za mgonjwa, anatoa tu nyeti.
Sasa haya ni matatizo ya kumpa kazi mtu kwa sababu anapiga domo tu.
Lakini si kasema Chidi Benz mwenyewe kashakubali anatumia madawa, na kwa hivyo, hapo hakuna suala la privacy tena?Hajali kuhusu hisia za mtu yeye anafanya jokes na maisha ya mtu on Air
Tatizo walikuwa wanaongelea janga la madawa ya kulevya Kwa ukubwa yeye aleta jokes kumzungumzia mtu mmojaLakini si kasema Chidi Benz mwenyewe kashakubali anatumia madawa, na kwa hivyo, hapo hakuna suala la privacy tena?
Tunamuonea mtangazaji aliyetaka kuliangazia tatizo kwa uwazi?
Tatizo walikuwa wanaongelea janga la madawa ya kulevya Kwa ukubwa yeye aleta jokes kumzungumzia mtu mmoja