Dully Sykes amuwashia moto kati kati ya kipindi mtangazaji wa Clouds FM, Soudy Brown kisa Chidi Benz

Dully Sykes amuwashia moto kati kati ya kipindi mtangazaji wa Clouds FM, Soudy Brown kisa Chidi Benz

Twende mbele turudi nyuma ila huyu mwamba wa dar es Salaam stand up anahitaji msaada .
Na msaada sio kumng'ong'a mitandaoni live ni vyema kumface na kumpa msaada.
Nimemuelewa sana dully amemjibu kigentleman.
Dully inabidi naye amsaidie huyo mshkaji wake ilii asiwe anasemwasemwa vibaya
Nliskia Chidibenz amepelekwa tena sober, Mara ya mwisho namuona Msasani Maandazi road, hali yake ilikua mbaya sana
 
Watu wapo sahihi, ile ni media sio kijiwe cha wahuni. Kwa mada yao walitakiwa kuongelea issues na sio watu.

Halafu imagine anauliza eti Chid anatumia madawa gani, aaaahhhh swali gani hili mpuuzi huyo
Kumuuliza Dully madawa anayo tumia msanii mwenzie ni kumtega! Dully atayajuaje? Vijana sio vizuri kuharibiana sifa.
 
Wote Dully na Soudy wanamakosa.

-Hauwezi kutukana On Air ,mwanzo alijibu vizuri tu kwamba sijui angeendelea tu na msimamo wake vile vile ,angeuliza tena angemjibu tu hilo swali ulipaswa umuulize chidbenz mwenyewe basi.

Watangazaji wanapenda kuuliza maswali ya kuku-provoke wasanii mateja wapo tu wengi ilitakiwa aulize in general na si kum-mention chid.
 
Waswahili kltukiambiwa ukweli tunaita matusi.
 
Twende mbele turudi nyuma ila huyu mwamba wa dar es Salaam stand up anahitaji msaada .
Na msaada sio kumng'ong'a mitandaoni live ni vyema kumface na kumpa msaada.
Nimemuelewa sana dully amemjibu kigentleman.
Dully inabidi naye amsaidie huyo mshkaji wake ilii asiwe anasemwasemwa vibaya
Kuna watu hawasaidiki. Kumsaidia Teja ni shughuli pevu
 
Jamani Dully mbona hazeekii?? Udongo gani huo....
Yuko kama wine inazeeka na ubora wake...
Nimekuja kujifunza kwamba kutokuzeeka ni intentional effort ambayo mtu anapaswa kuwa amekusudia kabisaaaa ili aweze ku age with grace. Wengi tuna take for granted afya zetu tukijua kwamba mwili utaji take care wenyewe.
Kumbe mwili ili uweze kuu maintain ,unahitaji special considerations, zingatia ulaji, zingatia mazoezi ya viungo na misuli, zingatia kupumzika, zingatia sana kutunza afya ya akili.
Rate ya kuzeeka itakua slow sanaaa
 
Hizo kazi zinasomewa, watu wanajua ethics, saikolojia, falsafa, mambo mengi.

Mtangazaji hajui huu ni ugonjwa, kuna mambo ya faragha za mgonjwa, anatoa tu nyeti.

Sasa haya ni matatizo ya kumpa kazi mtu kwa sababu anapiga domo tu.
Hajali kuhusu hisia za mtu yeye anafanya jokes na maisha ya mtu on Air
 
Soudy anafanya Cyberbullying kwa kivuli cha uandishi wa habari, furaha yake ni kuona kamuumiza mtu mwingine kisaikolojia au kuchochea mtu aongee neno baya juu ya mtu mwingine
 
Hajali kuhusu hisia za mtu yeye anafanya jokes na maisha ya mtu on Air
Lakini si kasema Chidi Benz mwenyewe kashakubali anatumia madawa, na kwa hivyo, hapo hakuna suala la privacy tena?

Tunamuonea mtangazaji aliyetaka kuliangazia tatizo kwa uwazi?
 
Lakini si kasema Chidi Benz mwenyewe kashakubali anatumia madawa, na kwa hivyo, hapo hakuna suala la privacy tena?

Tunamuonea mtangazaji aliyetaka kuliangazia tatizo kwa uwazi?
Tatizo walikuwa wanaongelea janga la madawa ya kulevya Kwa ukubwa yeye aleta jokes kumzungumzia mtu mmoja
 
Back
Top Bottom