Dully Sykes ana mchango mkubwa wa Harmonize kujitoa Wasafi

Madale mnatapa tapa...Maisha sio wasafi peke hata kama uridhishwi na unachokipata hata Diamond baada ya kuona aelewi aliondoka kwa Bob Junior na baadae akaondoka kwa Papa Misifa mbona hakwenda kupotea?!

Acheni roho mbaya za husda acheni vijana wajitafutie riziki
 
Mnajifanya hamjui kinachoendelea..Fela,Salam na Tale wanatoka vitambi kwa kazi za madogo..unapiga kazi ya 10m unapewa 3m..bora kusepa tu na Ana back up ya Sara
 
Utakuwa una roho mbaya sana
 
Sijui ni kwanini kuondoka kwake WCB mnaigeuza kuwa bifu kwani mtu hatakiwi kujitegemea akiona anaweza?
Nyie ndiyo mnakaa kazini miaka rudi miaka nenda hata kama uwezo wa kuanzisha miradi yenu mnao eti kisa boss alikuokota mtaani
Analyse mkuu,hata Mh Magu hajui kama vyma vimekaza pia ,we are in right truck
 
Harmonise ashapotea

Tumsahau huyu jamaa

Kiki yake ya mwisho itakua uchaguzi wa mwakani na hiki kinyimbo chake uchwara kinachomsifu dikitesa

After that itakua kama toilet paper imetumika then over

Anyway ngoja apambane na ujinga wake

Mkuuu hapa umemponda Harmonize kwa sababu unamchukia Magu,ila inavyoonyesha unamkubali sana Monde boy.
 
Hivi WCB wana wimbo gani hadi sasa,maana hata sikumbuki. Naujua Tetema tu ambao nao ni kawaida. Hivyo sioni tofauti yoyote kati ya Harmonize,Diamond na WCB as a whole,wote hawana jipya. Tena afadhali Barnaba Boy yuko vizuri,sema labda hana mtu wa kumfanyia Promo. Lakini kati ya Mondi,Konde,Kiba kiukweli kabisa,Barnaba Boy yuko juu(kiufundi), anakwama kwenye issue ya promotion tu,akilitatua hilo,yuko vizuri sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…