Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
okey ni overdose nimeelewa.yes The only pharmarcy we sell various panadol,varium as described by physician ,cockroach!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
okey ni overdose nimeelewa.yes The only pharmarcy we sell various panadol,varium as described by physician ,cockroach!
waambie wako siwatakii chochoteNaomba uwasalimu wazazi wako ,waambie nawaheshimu sana ,na nawatakia maisha marefu .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yani hata sijakuelewa, alafu mimi sio kaka, uko upande wa diamond au harmonize?
Kwani malengo ya WCB wapo kwa ajili ya kutengeneza harmonize wengi au kutengeneza wasanii kuwa wakubwa?Kinacho wauma fans wengi wa WCB ni kuwa,WCB haiwez kumtengeneza msanii tena kama Harmonize,Haijarish atapotea ila ni ngumu WCB kumtengeneza Harmonize mwingne.
ume elewa kilicho andikwa au kichwa kimejaa ugoro tu?Kwani malengo ya WCB wapo kwa ajili ya kutengeneza harmonize wengi au kutengeneza wasanii kuwa wakubwa?
Mnajifanya hamjui kinachoendelea..Fela,Salam na Tale wanatoka vitambi kwa kazi za madogo..unapiga kazi ya 10m unapewa 3m..bora kusepa tu na Ana back up ya Sarahapo kwa duly no comment mana sioni na sijui how anahusika na hayo, ila namuhurumia harmonize am sure tena very sure haya ya sijui kualikwa na viongozi wa siasa wanapata hadi lunch sijui kuwaimbia sijui leo yako na nani mwenye jina mjini yana muda mfupi sana tena sana, soon the reality will kick in hapo sasa haaapo sasa, mmh tupo hapa, i wish him well kiukweli sitaki kumuhukumu kwasababu siyajui yaliyopo behind the curtain but am sure hakukurupuka kujitoa kwa mtu ambae alimshika mkono when he was totally nothing hata pa kulala tu hakuwa napo diamond kamchukua kaishi nae madale baada ya hapo dai aliponunua ile nyumba kunduchi akamuhamishia kule akaishi mwenyewe kama kwake halipi hata 100, so nataka kuamini haikuwa rahisi kwake kutoka wcb ila may be kuna yasiyobebeka nyuma ya pazia ambayo ameona heri lawama kuliko fedhea
Utakuwa una roho mbaya sanaKimsingi Dullysykes ni nyoka mbaya sana kucheza naye ,ni mtu ambaye amesurvive mwanzo kwa ubora wa kazi zake kama julieta ,nyambizi na hi,baada ya hapo akajua kucheza na nyakati.
Alianza na chokochoko na TID ambapo alikuwa kinara by then mashabiki wa TID hawakuwa na time nae ila haters wa TID walitengeneza yeye kama ngao hajapata imba nyimbo kali kama zeze ,nyota yako,etc hili nalolikapita .
Ikaja zama ya Mr nice na dudu baya kama kawaida yake akaside na dudubaya maana hakuweza kutoboa kwa mr nice sangoma zilikutana.
Zikaja zama za Mr blue na Joseline ,Jamaa aligundua macho yote yako kwa hawa wawili basi alipambana mpaka ikafanyika colabo ''dhahabu'' yeye akanufaika kurudi ila joseline nasikia anauza kibanda cha chipsi uswahilini.
Sasa mastermind wa survival akajaribu kushine enzi za ufalme huu wa diamond na king kiba akatengeneza ileile mbinu ya colabo safari hii hakutoboa inasemekana mondi aligundua mkakati akafuta verse ya alikiba na huo ndo ulikuwa mwanzo wa bifu maana hata dully akagoma kutoa huo wimbo ,ila hapo mondi alikuwa anazikwa hai maana nyota yake iilikuwa anauziwa jamaa.
Mnyama huyu mkali alipoona hajatoboa na option pekee ni kuwa karibu na wasafi akaanza mbinu za kujisogeza kwa harmonise mara ooh mdogo wangu sijui atafika mbali ,mara anaheshima ,dogo akajaa misifa balaa taratibu akafanikiwa kupata collabo ambazo hata yeye anakiri dogo kampa kampani ,za ufytele jamaa ni moja ya wanaompa kichwa dogo kuwa anaweza na ananyonywa
muda hujibu,hesabu hazikosei .
Mondi ukisema afanye kolabo na alikiba anaekataa ni alikiba maana anawashauri wazuri wanamwambia utapotea mazima ,furahia hii siasa ya nani zaidi bila mashindano,hata mange aliposikia tetesi alikiba amealikwa wasafi festival pamoja na kuigiza kinafiki kuwa ali yuko juu ya mondi kwa mara ya kwanza ali act the truth alimwambia ukithubutu umeliwa .
Mondi pia katili sana alijua kinachompa kiki dogo harmo ni ushauri na influence yake asee kampotezea kila support overnight page ya mondi ikitolewa nyimbo ya harmoniser alikuwa anaipost balaa kumbuka ana followers almost 7 mil ,rayvan 3 mil ,mboso 2.3 mil,ravalava 1.5 hawa wote wameusiwa wamteme ,nampa moyo akiimba vizuri ataheat ila akileta huuupuuzi wa kujifanya anainua wakina qchief na dullysykes hata kaa aamini wenzake wako busy na kukuwa sio kushukuru shukuru watu amabao hata hawajakusaidia .
wenu mtiifu
The only
Ukishachagua upande ..hauwezi kuwa RATIONAL .... Acheni ujingayani hata sijakuelewa, alafu mimi sio kaka, uko upande wa diamond au harmonize?
Vanny to the worldKinacho wauma fans wengi wa WCB ni kuwa,WCB haiwez kumtengeneza msanii tena kama Harmonize,Haijarish atapotea ila ni ngumu WCB kumtengeneza Harmonize mwingne.
Huyo Vanny,Diamond katumia nguvu nying kumpeleka mbele lakin wap,Vanny nyota mbovu yule,ili apate hit lzm apge ft na Boss wake,inshort hamna kitu pale.Vanny to the world
Nitajie hit ya harmonize ambayo hana ft boss wake wa zamaniHuyo Vanny,Diamond katumia nguvu nying kumpeleka mbele lakin wap,Vanny nyota mbovu yule,ili apate hit lzm apge ft na Boss wake,inshort hamna kitu pale.
Analyse mkuu,hata Mh Magu hajui kama vyma vimekaza pia ,we are in right truck
Harmonise ashapotea
Tumsahau huyu jamaa
Kiki yake ya mwisho itakua uchaguzi wa mwakani na hiki kinyimbo chake uchwara kinachomsifu dikitesa
After that itakua kama toilet paper imetumika then over
Anyway ngoja apambane na ujinga wake
nia ni kukuza vipaji na kujipatia pesa kupitia hao wasanii.Kwani malengo ya WCB wapo kwa ajili ya kutengeneza harmonize wengi au kutengeneza wasanii kuwa wakubwa?
yani hata sijakuelewa, alafu mimi sio kaka, uko upande wa diamond au harmonize?
Hivi WCB wana wimbo gani hadi sasa,maana hata sikumbuki. Naujua Tetema tu ambao nao ni kawaida. Hivyo sioni tofauti yoyote kati ya Harmonize,Diamond na WCB as a whole,wote hawana jipya. Tena afadhali Barnaba Boy yuko vizuri,sema labda hana mtu wa kumfanyia Promo. Lakini kati ya Mondi,Konde,Kiba kiukweli kabisa,Barnaba Boy yuko juu(kiufundi), anakwama kwenye issue ya promotion tu,akilitatua hilo,yuko vizuri sana!Ukweli mchungu ni kuwa harmonize kwisha habar yake ,unajua kwenye hzi harakat za kujitoa angekaa kimya Kwanza bila kutoa Ngoma hata miez minne, lakn Tangu seke seke lianze ametoa nyimbo kibao na zote ametumbukia , hata akitoa Ngoma Kali itazimika mapema tuu, right decision but wrong timing