Dully Sykes ana mchango mkubwa wa Harmonize kujitoa Wasafi

Mbona bado ila time itaongea ndio kwanza mwaka mimi nitaongea mwakani.Ila ww unaweza ukaanza kuchunguza idadi ya shows anazozipata kupitia mapromota,streaming na mauzo kupitia digital platforms,nominations na tuzo,hivi vitaongea ila mwisho wa siku msiseme anabaniwa sababu media zote za burudani zinampa air time.
Mbona dalili za kuporomoka tayari zishaonekana,mwaka huu ukiondoa show za Sayona na CCM,hamna hata promota mmoja wa ndani au wa nje alimwita ktk show yoyote.Wewe mwezi huu 12 pamoja kuwa na sikukuu nyingi lakini hakupata hata show moja.

Kwenye Digitals platforms karibia zote moja mpaka tatu wanabadilishana Rayvanny,Diamond,Zuchu pamoja na kutoa album yenye nyimbo 18,na nyimbo zake nyingine tano za mipasho lkn bado kwenye platforms hajafanya vizuri na kwenye shows mapromota wame mfungia vioo.

Yeye siku hizi anakazi ya kumponda Diamond mpaka kamtafuta Chibu rapper kamweka kwenye video ya Ushamba na hii ya Wapo sijui atamtafuta Baba Chibu rapper amweke,kwa kifupi nyimbo za mipasho zinampotezea concetration mara nitoa chakula kila wiki,mara nina video zote 18 za album ya Afro East,Mara nitafanya show uwanja wa Uhuru siku tatu mfululizo,mara nitatoa albums nyingine,mara ohooooo nitakuwa na show Kahama.

Amekuwa mwongo mwongo karundika wasanii kibao na hajui anawatoa na kuwapromoti vipi na yeye kila siku anatoa nyimbo.
 
Mimi bado nitaongea kuanzia 2022 kwani nitakuwa na majumuisho kibao ingawa hata mimi nishaanza kupata picha.

Hebu acha muda uongee wenyewe.
 
Tunaheshimu muda uliochagua kuchambua ,point yangu kaielezea vizuri bwana kamba0719 mwanzo alipotoka hakujua ukubwa wa diamond mkuu unajua diamond ndiye msanii anaviwers 1 bil pekee africa akimuacha davido kwa zaidi ya milion 140.ovious yai zuri la harmonise lilihitaji kuendelea kuhatamiwa ,ila sasa hivi mpaka anamponda diamond live kwenye nyimbo zake
 
OK.
 
Back
Top Bottom