Dully Sykes, Sema lolote kuhusu huyu Brother.


Hiyo Salome ni nomaa.....

Ina biti flani hivii unique....
 

Dahh....

Noma sana mzee...
Living Legend for sure.....
 
Wimbo wa FA ft dully unaitwa Wanapendana
" .....si ajabu si hatar jman hal imebadilika sio km zaman sio kwa malijali had mabint hutaman talalilalilalaaaaaa........." ile ngoma noma sana halaf sijui kwa nin FA hakuipa promo ile dude,halaf dully aliua vibaya mno
.......Rring Rring napigiwa simu napata wazimu nauliza we ni nan anasema ye ni mariam sa unataka nini eti tukutane loyal palm haina shobo sitak demu nononinonaninoooo.....
 
Dully sykes yuko vizuri ameweza ku maintain usanii wake kwa miaka mingi sana
 
nakumbuka enzi hizo mpambano wake na Q chilla na TID.
 
Anastahili tuzo ya heshima huyu mr. misifa a.k.a handsome.

Kuanzia Historia ya kweli mpaka sasa anadamshi.
 

Huwa nikisikiliza ''Maisha ya Boarding'' ya J Moe, huwa nawaza kuwa Dully anastahili tuzo kwa kung'arisha chorus za tracks mbali mbali wakati ule.

Kwenye bongo fleva, Dully deserves much respect.

-Kaveli-
 
Naupenda sana ule wimbo wa Nyambizi,Salome na hunifahamu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…