ngaboru
JF-Expert Member
- Mar 3, 2016
- 2,069
- 5,411
Angekuwa wa mamton ungesikia ni UFONever getting Old...
Young as always..
Nimeanza kumsikia Dully back in 1996/7.....
He is still there. Anakula nini!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angekuwa wa mamton ungesikia ni UFONever getting Old...
Young as always..
Nimeanza kumsikia Dully back in 1996/7.....
He is still there. Anakula nini!?
"Nyambizi nakupenda japo mkubwaaa!! Mateso nayopata usiku ni makubwa naomba unielewe wangu mchumbaaa!!!"
"Salome juu ya kaburi lako naliaaaa aaaah kilio nakisika dakika za mwisho mpenzi najutiaa aaaah kosa niliyokufanyia"
"Julieta nakupenda kwa dhati lakini majirani wanachombeza unafki naapia kwa mola hakyaMungu sikuachia penzi letu bado lipo kwenye chati ......nakupenda mpenzi ,mpenzi letu bado lipo kwenye chaaaatii!!!
Long time ago aisee
Dully legend
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkali wa chorus wa kipindi kile, kijana alikua na.sauti moja matata sana kumbuka.wimbo kama sugarmamy, wanapendeza alioshirikishwa na FA, Lea, Ndoa ya Lazima, Bijue, rais wa bongo alioshirikishwa na Soggy, Ladies free na nyinginezo me kwangu alikua kati ya top 5 wasanii naowakubali kipindi.kile list ikiongozwa na Heavy Weight MC
Wimbo wa FA ft dully unaitwa WanapendanaMkali wa chorus wa kipindi kile, kijana alikua na.sauti moja matata sana kumbuka.wimbo kama sugarmamy, wanapendeza alioshirikishwa na FA, Lea, Ndoa ya Lazima, Bijue, rais wa bongo alioshirikishwa na Soggy, Ladies free na nyinginezo me kwangu alikua kati ya top 5 wasanii naowakubali kipindi.kile list ikiongozwa na Heavy Weight MC
Una uhakika hiyo miaka uliyoiandika ni sahihi?Never getting Old...
Young as always..
Nimeanza kumsikia Dully back in 1996/7.....
He is still there. Anakula nini!?
Sio yeye aliyetuhumiwa ni baunsa wakeMiaka Kama 15 iliyopita aliwahi kutuhumiwa Kuliwa japo Sijui Kama ilikuwa Kweli Au laa
Mkali wa chorus wa kipindi kile, kijana alikua na.sauti moja matata sana kumbuka.wimbo kama sugarmamy, wanapendeza alioshirikishwa na FA, Lea, Ndoa ya Lazima, Bijue, rais wa bongo alioshirikishwa na Soggy, Ladies free na nyinginezo me kwangu alikua kati ya top 5 wasanii naowakubali kipindi.kile list ikiongozwa na Heavy Weight MC
masista duh wanavyopiga mipasuo magauni kama.vioo nyie ndo honey wao[emoji443][emoji443][emoji441][emoji441][emoji441]napenda vikuku ila naogopa shanga/labda bado mi mtoto ama labda mi mshamba[emoji445][emoji445][emoji444][emoji444]
Sent using Jamii Forums mobile app
Angekuwa wa mamton ungesikia ni UFO