DUMILA: Msafara wa Raia Samia wasimamishwa kwa Muda

Kumekucha kumekucha Iron lady ameshaingia mkoa wa Tatu
Alipita wapi sisi tunajua bado yupo Kawe, vyombo vya habari hata haviandiki kuhusu kampeni za mwaka huu.
 
ni upendo wa hali ya juu kwa wanadumila

huyu mama ni mchapa kazi sio mchezo wallah hiki ndio kinawachanganya chadema hadi kuamua kutimua mbio kipindi hiki cha kampeni nafikiri wamejiuliza tutawambia nini watanzania na hivi kila mtu anaonja matunda ya kazi awamu hii ya sita ni mambo yanayowavuruga kicha
 
Alipita wapi sisi tunajua bado yupo Kawe, vyombo vya habari hata haviandiki kuhusu kampeni za mwaka huu.
Usikariri upashanaji wa habari umebadilika sana siku hizi
 
Acha wafu wazike wafu wenzao.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ buku saba mnanifurahisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…