Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah😁😁 mm sisiemu lakini cha moto nakiona huyu jamaa atafaa tena kweli?Hakuna aliyelaumu zaidi ya majungu yenu,wavivu ndiyo mnalalamika watu wanapiga kazi hawana muda wa kuloloma ati.
Maisha yamewashinda na bado aisee mtakimbia wote nchi kenge nyie
Punguza kodiHata mimi naishi Tz hii hii. Hivi hukumbuki sakata la sukari serikali ilivyolaumiwa kuwapangia bei hawa jamaa?! Wengi walisema waachwe soko liamua. Kinachotokea kwenye mafuta ndio hicho wafanyabiashara wako huru kupanga bei kulingana na soko.
Hebu toa mapendekezo yako kwa hali hii serikali ifanye nini?
Hawakawii kuwaita wapiga diliHii hali sijui itakuwaje au ni michezo ya wafanyabiashara??
Karibu na meli ya cement inafika au imeshafikaHakuna mchezo niserikalli kuweka tozo nyingi huku Gharama za uzalishaji zikiwa juu.hakuna mfanyabiashara anaetaka kufanya kazi ya hasara.
Mkulima kujikomboa kutoka unyonyaji wa watu wa mjini! Hii ni dhihaka; mjini ndiko kuna soko kubwa la mazao ya mkulima, kama mtu wa mjini hana hela, hataweza kununua kwa bei ya juu mazao ya mkulima, Mwishowe maumivu yote yanarudi kwa mkulima, maana mkulima hana uwezo wa kukaa na mazao yake kwa muda mrefu Kumbuka suala la centre - periphery relationship (kama unalijua)Acha wakulima wafaidi matunda ya nguvu zao wewe unataka waendelee kuuza mazao yao kwa hasara tuuu!! Kalime na wewe kama huwezi kununua mafuta kula hivyo hivyo bila mafuta kwanza mafuta yanasababisha magonjwa mengi tu. Naomba bei iongezeke zaidi ili wakulima nao wajikomboe na unyonyaji na watu wa mjini.
Makusanyo ya kodi yamefikia trilion 2!Kuishi kwa ujanja ndio gharama ipande juu kiasi hicho? Mbona tunaoathirika ni wote, hata hao wanaosema wengine wanaishi kwa ujanja ujanja.
Nakupa mfano, TRA wanakusanya kodi. Hivi maofisa wao wengi ni safi kiasi gani? Sio hawa wanaoomba rushwa wakidanganya kuwasaidia walipa kodi kupunguza kodi wanazodaiwa? Anayedhani amesimama aangalie asianguke
labda meli ya sukari ilipata ajali!Hata kwenye sukari mlikuja na kauli kama hizi. Ajabu mpaka leo sukari haijashuka
vyerehani kumi kumiVile viwanda vyenu 8000 mlivyojenga ndani ya miaka mitano hakuna viwanda vya kutengeneza mafuta ya kula???
Tulia hivyo hivyo mzigo ukishashushwa kutoka kwenye meli mtakula mema ya nchi. Serikali haiwaachi wananchi mupate shida inashugulikia kelele ndio zinakera. Wewe mtu ukiamuka kelele eti mafuta leo bei hii , kesho hivyo hivyo unafikiri ndio yatashuka ukiposti mitandaoni ?Mpaka tusubiri meli kweli?
Mi. Naona ifike muda Sasa serikal inzishe shule ya kuandaa viongoz huenda hay mambo yatapunguandio walichelewesha meli!
vyerehani kumi kumi
Wapi huko jamani? Mbeya sasa lita 6000! Ina maana hiyo ni lita 20 ni 120000!Hapo mjini Kawe, jana jamaa yangu mtaani kaenda akakuta yana 84000 yakamshinda akaacha kununua.
Mfumuko wa bei ni mkubwa, kutafuta unashushwa na kushuka bei kea vyakula hasa mahindi na mchele. Huku mikoani korie na aina zake ni sh 98000 kwa lita 20, sabuni ctn ndogo ya miche 10 imetoka sh 8000 miezi 2 iliopita, sasa ni 10,000. Kifupi gharama ya maisha imepanda sana.Nani atawasemea tena Watanzania kuhusu hizi gharama za kila kitu kupanda?
Je, bado hatuoni faida ya Wapinzani Tanzania?
Je, ni Wapinzani pekee wanaumizwa na gharama hizi? Maoni yako tafadhali.
Tukumbuke cement haitoki nje (kisingizio cha COVID-19 hakipo).
Tunalima alizeti mikoa mingi tu, karanga, mawese kitu gani kinapandisha hizi gharama?
Isiilaumu watu kulalamika, wawezeshe wenye mamlaka kutenda. Ni zimamoto pekee hawana taarifa ni wapi moto utatokea.Meli inakuja
Apeleke maendeleo wapi? Upendeleo ktk kusambaza maendeleo nchini umeshika kasi ktk awamu hii. Nyerere Amekufa bila uwanja wa ndege wa maana Musoma. Hospitali ya Kwangwa sina uhakika kama imesha kamilika.Mh Rais anapitia wakati mgumu sana kuna watu hawapend kweli apeleke maendeleo hakika binadam wana roho mbaya.
Mkuu iyo meli mbona haifiki? Ngano nayo kwa sasa imefikia 1500 kwa kilo kutoka 1200Waovu tu mnasherekea kutangaza mabaya. changamoto zinazojitokezea ni kawaida, sio kwamba serikali haioni na imelala, inashughulikia meli ya mafuta inakuja na bei itarejea kikawaida.