Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OvaNahisi anakaa kwa dadake
Hii ndio maana ya rais wa wanyonge...kuwafanya Watanzania wanyonge na mafukaraNani atawasemea tena Watanzania kuhusu hizi gharama za kila kitu kupanda?
Je, bado hatuoni faida ya Wapinzani Tanzania?
Je, ni Wapinzani pekee wanaumizwa na gharama hizi? Maoni yako tafadhali.
Tukumbuke cement haitoki nje (kisingizio cha COVID-19 hakipo).
Tunalima alizeti mikoa mingi tu, karanga, mawese kitu gani kinapandisha hizi gharama?
Hata kwenye sukari mlikuja na kauli kama hizi. Ajabu mpaka leo sukari haijashukaWaovu tu mnasherekea kutangaza mabaya. changamoto zinazojitokezea ni kawaida, sio kwamba serikali haioni na imelala, inashughulikia meli ya mafuta inakuja na bei itarejea kikawaida.
We nyumbu sukari nayo itaadimika nadhani kwa umakini mlionao mtaagiza meli ya sukari muda umekwenda. Agize na sukari fasta hata kwa majahazi nyumbu nyie.Meli ipo njiani acha kelele
Wavivu nyie, hamuwezi kufanya kazi mnataka serikali iwalishe.We nyumbu sukari nayo itaadimika nadhani kwa umakini mlionao mtaagiza meli ya sukari muda umekwenda. Agize na sukari fasta hata kwa majahazi nyumbu nyie.
Sukari bei yake imetulia, inaendana na sokoHata kwenye sukari mlikuja na kauli kama hizi. Ajabu mpaka leo sukari haijashuka
kutoka 1800 mpaka 2500/2800 kwako ndio kutulia? Inawezekana kuwa unaishi kwa shemeji yako (mume wa dada) hivyo hujui bei ya bidhaa muhimuSukari bei yake imetulia, inaendana na soko
Kwani kwenye sukari serikali iliingia kupanga bei au kuharibu biashara ya sukari?.maana toka ilivyoingia sukari haijakaa sawa hadi leo.Sasa hapo huwezi kusema soko linaachwa lijiendeshe wakati ni dhahiri ziko sababu zinazopelekea hivyo vitu kupanda bei na sidhani kama tatizo liko kwenye kiwango cha uzalishaji.Nyinyi wenye akili ndio wa Kwanza kusema serikali inaua biashara ikipangia wafanyabiashara. Tatizo hamjitambui,hamjui mnataka nini. Kikitokea hiki mnasema hivi,kikitokea kingine mnasema vingine. Kumbukeni sakata la sukari mlisema nini baada ya serikali kuingilia.
Umesahau kumalizia na #MitanoTenaNani atawasemea tena Watanzania kuhusu hizi gharama za kila kitu kupanda?
Je, bado hatuoni faida ya Wapinzani Tanzania?
Je, ni Wapinzani pekee wanaumizwa na gharama hizi? Maoni yako tafadhali.
Tukumbuke cement haitoki nje (kisingizio cha COVID-19 hakipo).
Tunalima alizeti mikoa mingi tu, karanga, mawese kitu gani kinapandisha hizi gharama?
Kipindi cha Mkapa serikali ilikuwa inapanga bei za bidhaa zote mbona biashara hazikufa?Sasa mnatakaje? Serikali iwapangie wafanyabiashara bei halafu mseme wanaua biashara? Si ndio biashara huru mnayoitaka hii?
Serikali wamesema kuna uhaba wa mafuta na meli ya mafuta inakuja uhaba utaisha. Demand vs supply.
Mkuu ukiwa muadilifu kama Sisi viongozi wa CCM yaani wala hayo makali ya maisha hutayahisi
Unaijua vieite wewe!!!
Sisi tunatembelea vieitee
If you can't fight us just join usUSSR's mighty was compromised and later collapsed by the same approach to leading people. You cant create classes in the society and succeed for a long time
Waovu tu mnasherekea kutangaza mabaya. changamoto zinazojitokezea ni kawaida, sio kwamba serikali haioni na imelala, inashughulikia meli ya mafuta inakuja na bei itarejea kikawaida.
If you can't fight us just join us
Maalim Seif now in our group and he is enjoying the fruit as well as
Halima mdee with other 18
You have to relax cos our country is in good handsIt is not about fighting. It is not about opposing for the sake of opposing. It is about wishing well for our mother land.
Tunataka progress hata baada ya miaka hii 10.