Dumu la mafuta ya kupikia lita 20 ni 82000 na cement ni 24000, hakuna wa kuongea tena!

Waovu tu mnasherekea kutangaza mabaya. changamoto zinazojitokezea ni kawaida, sio kwamba serikali haioni na imelala, inashughulikia meli ya mafuta inakuja na bei itarejea kikawaida.
Meli ya sukari nayo inakuja lini kurejesha sukari katika bei yake ya awali ?
 
Nani atawasemea tena Watanzania kuhusu hizi gharama za kila kitu kupanda?

Je, bado hatuoni faida ya Wapinzani Tanzania?

Je, ni Wapinzani pekee wanaumizwa na gharama hizi? Maoni yako tafadhali.

Tukumbuke cement haitoki nje (kisingizio cha COVID-19 hakipo).

Tunalima alizeti mikoa mingi tu, karanga, mawese kitu gani kinapandisha hizi gharama?
Hutaki sisi wakulima tupate hela? Acha unaa wewe mtoa mada!
 
Waovu tu mnasherekea kutangaza mabaya. changamoto zinazojitokezea ni kawaida, sio kwamba serikali haioni na imelala, inashughulikia meli ya mafuta inakuja na bei itarejea kikawaida.
Meli ya nini badala ya kutengeneza viwanda? Na cement mnasubiri meli ipi ili mfuko uwe buku 10?
 
Kinachopandisha bei ni kodi za kukurupuka.
Maadam serikali inapata kodi wewe mwananchi pambana na hali yako
Tatizo watanzania tulizoea kuishi kiujanja ujanja Ndio maana tunaumia
Tii sheria bila shuruti
Lipa kodi
Utafaidi matunda ya awamu hii ya Rais mwema mwenye Moyo wa huruma na upendo kwa RAIA wake
Vinginevyo utaumia sana maana mianya ya wapiga dili imeziba kabisa
 
Nani atawasemea tena Watanzania kuhusu hizi gharama za kila kitu kupanda?

Je, bado hatuoni faida ya Wapinzani Tanzania?

Je, ni Wapinzani pekee wanaumizwa na gharama hizi? Maoni yako tafadhali.

Tukumbuke cement haitoki nje (kisingizio cha COVID-19 hakipo).

Tunalima alizeti mikoa mingi tu, karanga, mawese kitu gani kinapandisha hizi gharama?

Kuna kitu kinachangia gharama kwenda juu. Tuache maneno maneno tutafute ukweli. Ukweli pekee ndio utatuweka huru. Hizo gharama haiwezekani zikaenda juu bila sababu yoyote. Nini kinapandisha gharama za uzalishaji juu?
 
Kuna kitu kinachangia gharama kwenda juu. Tuache maneno maneno tutafute ukweli. Ukweli pekee ndio utatuweka huru. Hizo gharama haiwezekani zikaenda juu bila sababu yoyote. Nini kinapandisha gharama za uzalishaji juu?
Tatizo watanzania tulizoea kuishi kiujanja ujanja Ndio maana tunaumia
Tii sheria bila shuruti
Lipa kodi
Utafaidi matunda ya awamu hii ya Rais mwema mwenye Moyo wa huruma na upendo kwa RAIA wake
Vinginevyo utaumia sana maana mianya ya wapiga dili imeziba kabisa
 
Tatizo watanzania tulizoea kuishi kiujanja ujanja Ndio maana tunaumia
Tii sheria bila shuruti
Lipa kodi
Utafaidi matunda ya awamu hii ya Rais mwema mwenye Moyo wa huruma na upendo kwa RAIA wake
Vinginevyo utaumia sana maana mianya ya wapiga dili imeziba kabisa
Kuishi kwa ujanja ndio gharama ipande juu kiasi hicho? Mbona tunaoathirika ni wote, hata hao wanaosema wengine wanaishi kwa ujanja ujanja.
Nakupa mfano, TRA wanakusanya kodi. Hivi maofisa wao wengi ni safi kiasi gani? Sio hawa wanaoomba rushwa wakidanganya kuwasaidia walipa kodi kupunguza kodi wanazodaiwa? Anayedhani amesimama aangalie asianguke
 
Mkuu ukiwa muadilifu kama Sisi viongozi wa CCM yaani wala hayo makali ya maisha hutayahisi
Unaijua vieite wewe!!!
Sisi tunatembelea vieitee
 
Attachments

  • IMG_20210101_160453.jpg
    IMG_20210101_160453.jpg
    73.6 KB · Views: 1
  • IMG_20210112_135335.jpg
    IMG_20210112_135335.jpg
    82.6 KB · Views: 1
Mwenzetu unapata chochote nini toka huko ziziem?!
Sisi viongozi wa CCM Kwa sababu ya uadilifu wetu yaani wala hayo makali ya maisha hutayahisi
Unaijua vieite wewe!!
Sisi tunatembelea vieitee!!
 
Attachments

  • IMG_20210101_160453.jpg
    IMG_20210101_160453.jpg
    73.6 KB · Views: 1
  • IMG_20210112_135335.jpg
    IMG_20210112_135335.jpg
    82.6 KB · Views: 1
Hivi wewe unasema tufanye kazi,siku zote kazi huwa unatufanyia wewe?!!!
Fanya kazi, kama unaona maisha magumu hama katafute nchi watakayokununulia chakula ule unenepe. Sisi tunajenga nchi na tunajitolea kufanya kazi ili vizazi vijavyo vineemeke.
 
Kwahiyo wewe ndio unafanya kazi sana kuliko watanzania wote?
Watanzania wanaofanya kazi hawapo kwenye mitandao wakilialia kitu kinapopanda bei kidogo, wanatangaza mema ya nchi, fursa zilizopo na kubadilishana mawazo ya burudani.
 
Sisi watanzania Waadilifu na viongozi wa CCM yaani wala hayo makali ya maisha hutayahisi
Unaijua vieite wewe!!!
Sisi tunatembelea vieitee
 
Attachments

  • IMG_20210101_160453.jpg
    IMG_20210101_160453.jpg
    73.6 KB · Views: 1
  • IMG_20210112_135335.jpg
    IMG_20210112_135335.jpg
    82.6 KB · Views: 1
Back
Top Bottom