M MELEKAHE JF-Expert Member Joined Nov 19, 2023 Posts 2,230 Reaction score 8,337 Mar 18, 2025 #1 Dunia imebadilika sana Duna ya saizi haihitaji masomo ya masimulizi na kukariri Notes Bali ujuzi. Kayumba mwenye ujuzi anaingiza pesa kuliko english medium mwenye divison 1
Dunia imebadilika sana Duna ya saizi haihitaji masomo ya masimulizi na kukariri Notes Bali ujuzi. Kayumba mwenye ujuzi anaingiza pesa kuliko english medium mwenye divison 1
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 46,250 Reaction score 90,741 Mar 18, 2025 #2 Endeleeni na huu uninga wenu ipo siku wadhungu wataaambia bonokeni tuwalenge yas zenu na tutabonoka kweli
Endeleeni na huu uninga wenu ipo siku wadhungu wataaambia bonokeni tuwalenge yas zenu na tutabonoka kweli
The mission 2017 JF-Expert Member Joined Aug 14, 2017 Posts 6,498 Reaction score 14,946 Mar 18, 2025 #3 Swala la elimu ni swala pana sana. Iwe ya ufundi, Nadharia au Uchawi, Hakikisha inakusaidia kukuendeleza kiuchumi. Kama haikusaidii, Tafuta elimu/Ujuzi mwingine mpaka ufanikiwe
Swala la elimu ni swala pana sana. Iwe ya ufundi, Nadharia au Uchawi, Hakikisha inakusaidia kukuendeleza kiuchumi. Kama haikusaidii, Tafuta elimu/Ujuzi mwingine mpaka ufanikiwe
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 29,814 Reaction score 47,414 Mar 18, 2025 #4 Unaenda kusomea nini chuoni? Siasa, huduma au uzalishaji?
M MELEKAHE JF-Expert Member Joined Nov 19, 2023 Posts 2,230 Reaction score 8,337 Mar 18, 2025 Thread starter #5 LOTH HEMA said: Unaenda kusomea nini chuoni? Siasa, huduma au uzalishaji? Click to expand... Zama za kwenda chuo kikuu kusomea, sociology na manunuzi zimeshaisha
LOTH HEMA said: Unaenda kusomea nini chuoni? Siasa, huduma au uzalishaji? Click to expand... Zama za kwenda chuo kikuu kusomea, sociology na manunuzi zimeshaisha
NYOLODO JF-Expert Member Joined Sep 27, 2020 Posts 12,206 Reaction score 27,987 Mar 19, 2025 #6 MELEKAHE said: Zama za kwenda chuo kikuu kusomea, sociology na manunuzi zimeshaisha Click to expand... Kwa sababu ajira hamna au?🤣 dah kweli Afrika huku n'kundun mwa dunia
MELEKAHE said: Zama za kwenda chuo kikuu kusomea, sociology na manunuzi zimeshaisha Click to expand... Kwa sababu ajira hamna au?🤣 dah kweli Afrika huku n'kundun mwa dunia