Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Huu ndiyo ukweli hata kama ni mchungu.
Siku Urusi , au Uchina, au Iran mojawapo ikawa ndiyo inasimamia maslahi ya ulimwengu wetu huu, dunia itageuka kuwa uwanja wa kuchinjana na mwenye nguvu mpishe apite.
Kwa hoja ipi??Sikubaliana na wewe
Kwa hoja ipi??
Sasa kwani hoja maana yake ni Nini?Hivi hapo juu umetoa hoja wewe? Elimu elimu elimu, mimi nimejibu statement yako, wewe unadai hoja? Najibuje oja kwenye Ngonjera?
Au hoja ni:
"Mwenye nguvu mpishe"?
Ngoja nijibu:
Sitaki mpisha, Hana nguvu.
Sasa kwani hoja maana yake ni Nini?
Unaposema hukubaliani nami si lazima kuwe na sababu? Au nyie wenye elimu huwa mnakataa mambo bila ya sababu??
Dunia chini ya Marekani sasa.this is the dumbest post I have ever seen.Huu ndiyo ukweli hata kama ni mchungu.
Siku Urusi , au Uchina, au Iran mojawapo ikawa ndiyo inasimamia maslahi ya ulimwengu wetu huu, dunia itageuka kuwa uwanja wa kuchinjana na mwenye nguvu mpishe apite.
We umeshaolewa?
Kwa akili hizi hakuna kuchomoa njema ya amerika ikitaka jambo lakeKwa nini unatangatanga? Mambo ya CCM kutoka madarakani yametokea wapi tena?
Enzi za Sodoma na Gomora ni Marekani ndiyo ilikuwa inatawala huko?
Kwani Ushoga umeanza baada tu ya taifa la Marekani lilipoanzishwa??dunia bila marekani tungeishi kwa amani hata ushoga usingekuwepo
Kwa nini huwa mnapenda kuonyesha kwamba kitu pekee kinachofanyika Marekani ni wanaume Kwa wanaume au wanawake Kwa wanawake kuoana?ukiranja unaompamba nao USA ni huo wakumpa uhuru mke wako au kijana wako akaolewe na jinsi yake? Vipi siku mke wako akaomba talaka ili akaolewe na mwanamke mwenzake, utarudi hapo kumsifia?
Hata wewe pia umeandika kwa hisia sana.Umeandika topic hii kwa hisia mno.
Jujaweka maelezo ya kisomi ku support topic yako hii.
Kwa kuangalia hao wanaotamani wawe viranja Wa dunia wanavyoendesha nchi zao.1. Kwanini unasema itakuwa uwanja wa kuchinjana?
Jibu namba Moja linatosheleza hapa.2. Kwa namna gani itakuwa uwanja wa kuchinjana?
Kuna ushahidi wa kutosha tu3. Je, haya unayazungumza kutokana na unavyo amini au upo na analytical evidences.
Angalau Hitler pekee ndiye aliyetaka uwe uwanja wa kuchinjana. Haijawai Kwa milenia mbili Sasa.4. Je ni lini dunia imewahi kuwa siyo uwanja wa kuchinjana?
Yap. Hapa sizungumzii Vita.5. Upo na elimu kidogo kuhusu dunia tangu utawala wa Mongols, Waajemi nk?
Bado siyo kuchinjana.Chini ya ukiranja wa USA kumetokea mauji ,vifo na vita vingi mno.
Mifano;
Rwanda ,Lebanon,Sudani,Bosnia nk
Kuchinjana ndio kunakuwa vipi ? fafanuaBado siyo kuchinjana.