Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Mtu bado una mawazo ya kutawaliwa asee wewe mtoto akikusikia museveni ataamrisha wakuuwe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ndiyo ukweli hata kama ni mchungu.
Siku Urusi au Uchina, au Iran mojawapo ikawa ndiyo inasimamia maslahi ya ulimwengu wetu huu, dunia itageuka kuwa uwanja wa kuchinjana na mwenye nguvu mpishe apite.
Nyie ndio wale watumwa waliokuwa wanakataa uhuru.Ulimwengu chini ya utawala wa USA ni bora kuliko alternative nyingine yoyote
HakikaBila Marekani imara Putin angeshachukua Ukraine zamani mno, saiz angekuwa anamalizia kuzitwaa Poland, Lithium, nk
Huyo kwenye avatar yako ni Jaji mkuu wa Marekani, John Roberts??Kwa majibu haya uliyojibu nahitimisha kuwa wewe ni juha usiyejitambua huku duniani.
Kula chuma hiko .unamjuwa mwandishi Jackson Hinkle? Mfuatilie X utamwelewa sana usisumbuke na avatar ya John RobertsHuyo kwenye avatar yako ni Jaji mkuu wa Marekani, John Roberts??
dunia bila marekani tungeishi kwa amani hata ushoga usingekuwepo
Kama ni yeye unakuwa huna tofauti na chichidodo.Kula chuma hiko .unamjuwa mwandishi Jackson Hinkle? Mfuatilie X utamwelewa sana usisumbuke na avatar ya John Roberts
View attachment 2729945