Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa akili yako hapo nani ameomba deal kwa mwenzake?? Na hata ki uchumi unadhania diamond anaweza msogelea papa mopao?? Fanya utafiti kwanza!! Na kwenye sanaa msanii mdogo kumshirikisha msaani mkubwa, ni kitu cha kawaida tu, tena ni bahati kwa msanii mdogo!!Hakika dunia duara leo hii Mopao analetwa nchini na kupewa dili na mwanae? Tuheshimiane tu ndugu zangu dunia SI yetu
Huo hapo mkwanja wakeHakika dunia duara leo hii Mopao analetwa nchini na kupewa dili na mwanae? Tuheshimiane tu ndugu zangu dunia SI yetu
Aaaah, si unajua tena, tunamuinua juu kijana wetu! Kila upenyo wa KUMPATIA SIFA tunautumia!Utajiri wa Koffi zaidi ya 46 billion za kibongo kwa mujibu wa hapo juu. Ana hela nyingi sana
Mkuu mbona Wizikid alikuja kufanya show hapa TZ akaletwa na Wcb hiyo haimaanishi Diamond ana mpunga kuliko Wizikid. Sasa kama kamleta Koffi kaja piga show avute mkwanja wake.Hakika dunia duara leo hii Mopao analetwa nchini na kupewa dili na mwanae? Tuheshimiane tu ndugu zangu dunia SI yetu
Hizo miatano ndiyo zinazidi kumtajirisha.Mkuu mbona Wizikid alikuja kufanya show hapa TZ akaletwa na Wcb hiyo haimaanishi Diamond ana mpunga kuliko Wizikid. Sasa kama kamleta Koffi kaja piga show avute mkwanja wake.
Mo na pesa yake yote bado hakatai 500 ya masikini anayenunua maji yake.
Hicho ndicho nilimaanisha, kuwa huwezi kataa pesa eti kisa wewe tajiri.Hizo miatano ndiyo zinazidi kumtajirisha
Umemaliza.Kwa akili yako hapo nani ameomba deal kwa mwenzake?? Na hata ki uchumi unadhania diamond anaweza msogelea papa mopao?? Fanya utafiti kwanza!! Na kwenye sanaa msanii mdogo kumshirikisha msaani mkubwa, ni kitu cha kawaida tu, tena ni bahati kwa msanii mdogo!!
Tuwekee na networth ya Mondi...Huo hapo mkwanja wake View attachment 1635613
Wakongo huwa hawasave pesa bali Ni kula raha hadi awe namba moja dunianiKwa akili yako hapo nani ameomba deal kwa mwenzake?? Na hata ki uchumi unadhania diamond anaweza msogelea papa mopao?? Fanya utafiti kwanza!! Na kwenye sanaa msanii mdogo kumshirikisha msaani mkubwa, ni kitu cha kawaida tu, tena ni bahati kwa msanii mdogo!!