Citizen B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 6,681
- 9,084
Hapa bongo Makini ni Joh tuMondi ni mtu makini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa bongo Makini ni Joh tuMondi ni mtu makini
Mondi ni mtu makini Tanzania , kama Joh ni bongo bado sanaHapa bongo Makini ni Joh tu
Umeandika ujinga tena wa mtu asiye na uwezo wa kufikiri. Ufala+ulimbukeni+ ujinga+ uelewa mdogo=upumbavu.Hakika dunia duara leo hii Mopao analetwa nchini na kupewa dili na mwanae? Tuheshimiane tu ndugu zangu dunia SI yetu
Acha utotoPalm Village unajua thamani yake? Wasafi Tower je? Sasa inakuja Wasafi Airlines
Acha utoto.Palm Village unajua thamani yake? Wasafi Tower je? Sasa inakuja Wasafi Airlines
Kofi hamgusi diamond hata nusuKwa akili yako hapo nani ameomba deal kwa mwenzake?? Na hata ki uchumi unadhania diamond anaweza msogelea papa mopao?? Fanya utafiti kwanza!! Na kwenye sanaa msanii mdogo kumshirikisha msaani mkubwa, ni kitu cha kawaida tu, tena ni bahati kwa msanii mdogo!!
Unaotaaa!!kama hutokasirika lakini una umri gani?labda!! Kofi olomide umlinganishe na diamond kwa utajiri?!!Kofi hamgusi diamond hata nusu
Huyo mwenye hyo networth ni kofi wa miaka ya 90 ma 2000s..sio kofi wa leo..mziki hamuujui wa Tz waashamba sana nyie....hiv diamond sabab ni mtoto wa tandale mnamuona mwenzenu...diamond ana pesa nying..zinaweza zisifike 10m usd lakin kwasasa kamwacha mbali kofi..na kofii anafaham hlo..kwakua ulicheza shamukwale bas unahis ndio kofi wa sasa..wanamuzik huwa wanafilisika na kuwa maskin kabisa..wamefirisika kina tyson.kina wesley snipes kina dmx.kina yvone chakachaka etc etc...wa Tz washamba sjawai ona walahUnaotaaa!!kama hutokasirika lakini una umri gani?labda!! Kofi olomide umlinganishe na diamond kwa utajiri?!!
Huyo mwenye hyo networth ni kofi wa miaka ya 90 ma 2000s..sio kofi wa leo..mziki hamuujui wa Tz waashamba sana nyie....hiv diamond sabab ni mtoto wa tandale mnamuona mwenzenu...diamond ana pesa nying..zinaweza zisifike 10m usd lakin kwasasa kamwacha mbali kofi..na kofii anafaham hlo..kwakua ulicheza shamukwale bas unahis ndio kofi wa sasa..wanamuzik huwa wanafil
Hahaaa!!miaka hii bado una bahatisha kwenye dunia hii!!?kofi olomide hadi 2020, utajiri wake ulifikia dola za kimarekani milioni 20!!wewe unaleta mambo eti miaka ya 90's, watu wanawekeza kwenye real estate, huko, ufaransa, belgium, kinshasa!! Diamond kulingana na mitandao ana kama dola milioni 5!!sasa hapo nani ni nani!!(kulingana na mitandao)hakuna haja ya kutoa povu!!, kwa africa kofi ni wa nne kwa utajiri kwa wanamusic.Huyo mwenye hyo networth ni kofi wa miaka ya 90 ma 2000s..sio kofi wa leo..mziki hamuujui wa Tz waashamba sana nyie....hiv diamond sabab ni mtoto wa tandale mnamuona mwenzenu...diamond ana pesa nying..zinaweza zisifike 10m usd lakin kwasasa kamwacha mbali kofi..na kofii anafaham hlo..kwakua ulicheza shamukwhahaahuwa wanafilisika na kuwa maskin kabisa..wamefirisika kina tyson.kina wesley snipes kina dmx.kina yvone chakachaka etc etc...wa Tz washamba sjawai ona walah
sawa sasa ndio akawalipe kodi yao TRA kutokana na hayo mapato yake binafsi hasilie lie kusema ilikua ni kickHuyo mwenye hyo networth ni kofi wa miaka ya 90 ma 2000s..sio kofi wa leo..mziki hamuujui wa Tz waashamba sana nyie....hiv diamond sabab ni mtoto wa tandale mnamuona mwenzenu...diamond ana pesa nying..zinaweza zisifike 10m usd lakin kwasasa kamwacha mbali kofi..na kofii anafaham hlo..kwakua ulicheza shamukwale bas unahis ndio kofi wa sasa..wanamuzik huwa wanafilisika na kuwa maskin kabisa..wamefirisika kina tyson.kina wesley snipes kina dmx.kina yvone chakachaka etc etc...wa Tz washamba sjawai ona walah