Dunia Duara: Kofi kudhaminiwa na Diamond?

Dunia Duara: Kofi kudhaminiwa na Diamond?

Mopao analishwa na mtoto wa Tandale
 
Wabongo bwana,kwa hiyo kuna watu kabisaaaa walikuwa wanaamini diamond ana hela kumzidi kofiiii???!!!...mnaleta utani eeeeehh
Palm Village unajua thamani yake? Wasafi Tower je? Sasa inakuja Wasafi Airlines
 
Hakika dunia duara leo hii Mopao analetwa nchini na kupewa dili na mwanae? Tuheshimiane tu ndugu zangu dunia SI yetu
Kweni utafutaji ukoje? We ndo mshamba huelewi chochote,ukisema hivyo maana yake muulize na Bakhresa kwa nini na utajiri wake wote anauza barafu
 
Na Ndio walomleta... Ila watanzania waliowengi ni wajinga au wanajitoa fahamu ukweli wanaujua ila wanaleta unafiki ...
Koffi kaletwa hapa na kusaga FULLSTOP
Utashambuliwa hatari mkuu na kuitwa mwenye chuki na mafanikio ya Diamond.
 
Mopao Mokonzi ni Business Man. Naseeb Abdul ni muuza sura na mpenda misifa. Mopao knows what he is doing..
Tena msomi. Na ndo maana ameweza kudumu kwenye music mda wote huo. Diamond ni version ya kina Juma nature, Tena amshkuru Salam yule manager wake pia amshkuru Sana kusaga na marehemu Ruger.
 
Back
Top Bottom