Dunia Duara: Kofi kudhaminiwa na Diamond?

Hakika dunia duara leo hii Mopao analetwa nchini na kupewa dili na mwanae? Tuheshimiane tu ndugu zangu dunia SI yetu
Kwa akili yako hapo nani ameomba deal kwa mwenzake?? Na hata ki uchumi unadhania diamond anaweza msogelea papa mopao?? Fanya utafiti kwanza!! Na kwenye sanaa msanii mdogo kumshirikisha msaani mkubwa, ni kitu cha kawaida tu, tena ni bahati kwa msanii mdogo!!
 
Hakika dunia duara leo hii Mopao analetwa nchini na kupewa dili na mwanae? Tuheshimiane tu ndugu zangu dunia SI yetu
Mkuu mbona Wizikid alikuja kufanya show hapa TZ akaletwa na Wcb hiyo haimaanishi Diamond ana mpunga kuliko Wizikid. Sasa kama kamleta Koffi kaja piga show avute mkwanja wake.

Mo na pesa yake yote bado hakatai 500 ya masikini anayenunua maji yake.
 
Hizo miatano ndiyo zinazidi kumtajirisha.
 
Umemaliza.
 
Wakongo huwa hawasave pesa bali Ni kula raha hadi awe namba moja duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…