Dunia duara ukibisha muulize Nape na January Makamba

Dunia duara ukibisha muulize Nape na January Makamba

Yu wapi Nape na January?!

Hawasikiki tena wala kuabudiwa. Walijiona na kuhisi rasmi Dunia ni yao baada ya kifo cha JPM na wao kurejeshwa ndani ya mfumo.

Kiko wapi hatimaye!

Leo hii Makonda anakula kuku kwa mrija huku Nape na January wakiendelea kujificha walipo kwa hofu ya kutwezwa endapo wataonekana mtaani.

Dunia tambala bovu, tuwe na kiasi.
Labda hujajua tu kama hiki kivumbi kilichofanya mama abadili msimamo kuhusu maandamano ya upinzani kilitoka kwao.

Kwani kikao cha Morogoro ambacho mama alikizungumzia unadhani hao jamaa wawili hawakiwemo? Kwani kelele za akina Mange zinatoka wapi?

Hawajakaa kimya hao jamaa.

Ova
 
Yu wapi Nape na January?!

Hawasikiki tena wala kuabudiwa. Walijiona na kuhisi rasmi Dunia ni yao baada ya kifo cha JPM na wao kurejeshwa ndani ya mfumo.

Kiko wapi hatimaye!

Leo hii Makonda anakula kuku kwa mrija huku Nape na January wakiendelea kujificha walipo kwa hofu ya kutwezwa endapo wataonekana mtaani.

Dunia tambala bovu, tuwe na kiasi.
Hao ndiyo wazuri ukimuelewa babu wa Bumbuli
 
Mnawabeza bure kama hamuelewi siasa zilivyo. Binafsi nawaelewa na wanaonesha ukomavu. Ukitolewa kaa utulie wengine wapige kazi.

Muda siku zote ni hakimu wa haki. Kwani mara ngapi wametolewa na wakarudi? Shida huwa tunajisahai nakuona kama wana life ban kwenye siasa.

Kwa uzoefu wao usiamini kbisa kuwa ndiyo mwisho wao.

Mifano ipo mingi, alikuwa wapi lukuvi? kabudi? Leo nadhani kila mtu anajua walipo.

Msipende kujipa matumaini baadae mkaanza kulialia tena. CCM wote tunaijua labda kama ni wageni.
 
Yu wapi Nape na January?!

Hawasikiki tena wala kuabudiwa. Walijiona na kuhisi rasmi Dunia ni yao baada ya kifo cha JPM na wao kurejeshwa ndani ya mfumo.

Kiko wapi hatimaye!

Leo hii Makonda anakula kuku kwa mrija huku Nape na January wakiendelea kujificha walipo kwa hofu ya kutwezwa endapo wataonekana mtaani.

Dunia tambala bovu, tuwe na kiasi.
Kiasi ni nini sasa ambacho makonda anacho na nape hana?
 
Hana jeuri yoyote, ila hana uwezo
Yeah, Hana uwezo wa kukaa uani kama hivyo na kusengenya watu........Yuko too busy na business zake
Ni kweli simuwezi, Maana aliyoyafanya Galanos mimi siwezi hata kujaribu
Hahahahaaa.....teke dhaifu kabisa hili la punda anayekufa. Hebu jilinganishe na wewe kwanza kwenye hoja mnazoongea tu halafu njoo ujijibu hapa hoja hiyo iliypkosa wanunuzi Sasa.
 
Binadamu huwa wanajisahau sana.

Ila kiuhalisia hakuna mmiliki wa hii Dunia ni Mungu pekee.

Kuna watu walikua wanatisha bwana na wote hao hivi sasa hawapo wamebakia historia tu.
 
Yu wapi Nape na January?!

Hawasikiki tena. Walijiona na kuhisi rasmi Dunia ni yao baada ya kifo cha JPM na wao kurejeshwa ndani ya mfumo.

Kiko wapi hatimaye!

Leo hii Makonda anakula kuku kwa mrija huku Nape na January wakiendelea kujificha walipo.

Dunia tambala bovu, tuwe na kiasi.
timu ya ushindi ya mama hiyo 2025
 
Yu wapi Nape na January?!

Hawasikiki tena. Walijiona na kuhisi rasmi Dunia ni yao baada ya kifo cha JPM na wao kurejeshwa ndani ya mfumo.

Kiko wapi hatimaye!

Leo hii Makonda anakula kuku kwa mrija huku Nape na January wakiendelea kujificha walipo.

Dunia tambala bovu, tuwe na kiasi.
Nadhani ndio hao Mama anawaonya wasije wakaleta fujo Kwa Jamuhuri!

Ile tone ya mama no rasmi kuna watu wanataka kumpindua yeye!
 
Yu wapi Nape na January?!

Hawasikiki tena. Walijiona na kuhisi rasmi Dunia ni yao baada ya kifo cha JPM na wao kurejeshwa ndani ya mfumo.

Kiko wapi hatimaye!

Leo hii Makonda anakula kuku kwa mrija huku Nape na January wakiendelea kujificha walipo.

Dunia tambala bovu, tuwe na kiasi.
Sijui ni msukumo gani hasa ulio kufanya ulete mada kama hii hapa. Ni hiyo habari ya "kifo cha JPM"?

Kwani nani kakwambia hawatapewa majikumu mengine ndani ya CCM hiyo hiyo na serikali yake?
Huyo Makonda unaye mfurahia leo, yeye hakuwahi kuwa nje?

Sasa hapo watakapo rudi wewe utajificha wapi kwa aibu!
 
Kumcheka Nape na January ni udwanzi sana, wakati wenzako wanakaa Masaki na Mikocheni, watoto wako Marekani, na mfukoni zipo za kutosha, wewe unawakebehi jamiiforums.
 
EEeeeenHEEeee!
Nilijuwa maktaba haiwezi kukosa vitu kama hivi!

Hawa watatu wana historia ya kipekee. Huyo mwenye Bendera, hata sijui kama ile picha aliyo ambiwa na kisichana nje ya ofisi ya Mambo ya ndani, kwamba hana uwaziri tena, nayo unayo kwenye maktaba yako! Na huyo mwingine kushikiwa bastola mtaani...!

Na usishangae sana hawa ndio wakawa timu sumbufu sana ndani ya CCM miaka michache ijayo
 
Maktaba yetu imejaa kila kitu
 
Ukiitumia vizuri hiyo inaweza kuwa mgodi maridhawa hapo baadae.
IMG_4838.JPG
 
Back
Top Bottom