Dunia duara

Dunia duara

Ukishaelewa itakusaidia nini?
Sishangai kwa nn huyo unayemwandika dada yako alitak kujiua, maana hili jibu-swali lako limeniwazisha kujiua kwa mbalii..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sishangai kwa nn huyo unayemwandika dada yako alitak kujiua, maana hili jibu-swali lako limeniwazisha kujiua kwa mbalii..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3][emoji3]

Jiue tu
 
Majuto ni mjukuu.
Na asiyesikia la mkuu huvunjika guu.
Laiti angesikiza ushauri wa wakubwa zake kipindi hiko na angejifungulia hata kibanda cha mkaa yasingemkuta hayo.

Hata hivyo dada anahitaji watu wa karibu wawe naye wampe ushauri kama kesha fikia hatua ya kutaka kujiua anaweza arudie tena,pole yake.

Halafu hii tabia ya kupata pesa na kuanza kidharau wanaume,wanawake sisi tunaitoa wapi??
Tunajiendekeza my dear.. Ingawa kuna baadhi wenye pesa na ni wastaarabu
 
Sema huyo dada hakumpenda huyo mwanaume ndo maana alipopata pesa tu dharau zikaanza,akajua pesa haitakauka.
Asiyefuzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu.
Mpe pole dada mwambie kujiua si suluhu ya matatizo bado anawatoto wanahitaji malezi yake
Tunajiendekeza my dear.. Ingawa kuna baadhi wenye pesa na ni wastaarabu
 
Sio hater

Umetaka kujiua mwenyewe nihuzunike Mimi si wehu huu
Kumbe ukikuta kichwa changu njiani huwezi sema "maskini huyu mzee kimempata nn"[emoji37] [emoji37]
 
kila chenye mwisho hakikosi kuwa na na mwanzo katikati kusiwachanganye mkasahau chanzo
 
Back
Top Bottom