kuseranasera
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 622
- 390
Ya kitoto sana kwanini msianzishe kajukwaa kenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sishangai kwa nn huyo unayemwandika dada yako alitak kujiua, maana hili jibu-swali lako limeniwazisha kujiua kwa mbalii..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukishaelewa itakusaidia nini?
Tunajiendekeza my dear.. Ingawa kuna baadhi wenye pesa na ni wastaarabuMajuto ni mjukuu.
Na asiyesikia la mkuu huvunjika guu.
Laiti angesikiza ushauri wa wakubwa zake kipindi hiko na angejifungulia hata kibanda cha mkaa yasingemkuta hayo.
Hata hivyo dada anahitaji watu wa karibu wawe naye wampe ushauri kama kesha fikia hatua ya kutaka kujiua anaweza arudie tena,pole yake.
Halafu hii tabia ya kupata pesa na kuanza kidharau wanaume,wanawake sisi tunaitoa wapi??
Unafuraia kweli watu kujiua[emoji19] [emoji19] wewe ni hater..[emoji3][emoji3]
Jiue tu
Tunajiendekeza my dear.. Ingawa kuna baadhi wenye pesa na ni wastaarabu
Kwa nini umeileta chitchat?
Back to the topic
KARMA is BITCH
Kumbe ukikuta kichwa changu njiani huwezi sema "maskini huyu mzee kimempata nn"[emoji37] [emoji37]Sio hater
Umetaka kujiua mwenyewe nihuzunike Mimi si wehu huu
Now sipo vyema nisije kuji sahau nikizishikaUmeogopa nini?
AmenNa omba Mungu akupe hekima