Dunia duara

Dunia duara

Majuto ni mjukuu.
Na asiyesikia la mkuu huvunjika guu.
Laiti angesikiza ushauri wa wakubwa zake kipindi hiko na angejifungulia hata kibanda cha mkaa yasingemkuta hayo.

Hata hivyo dada anahitaji watu wa karibu wawe naye wampe ushauri kama kesha fikia hatua ya kutaka kujiua anaweza arudie tena,pole yake.

Halafu hii tabia ya kupata pesa na kuanza kidharau wanaume,wanawake sisi tunaitoa wapi??
Most of our wives wako hivi sijui kwanini, ndio mana tumeambiwa tuishi nao kwa akili
 
Majuto ni mjukuu.
Na asiyesikia la mkuu huvunjika guu.
Laiti angesikiza ushauri wa wakubwa zake kipindi hiko na angejifungulia hata kibanda cha mkaa yasingemkuta hayo.

Hata hivyo dada anahitaji watu wa karibu wawe naye wampe ushauri kama kesha fikia hatua ya kutaka kujiua anaweza arudie tena,pole yake.

Halafu hii tabia ya kupata pesa na kuanza kidharau wanaume,wanawake sisi tunaitoa wapi??
Naona umeamua kuteleza na wahenga[emoji2]

Hiyo tabia nilisikia Mzee mmoja akisema chanzo chake ni yuleyule nyoka aliyeratibu kuliwa kwa tunda la mti wa katikati.[emoji40]
 
Natamani Mimi ndiyo ningekuwa huyo shemeji yako hahahahahahahahha
 
Hakuisoma ndoto ya farao?baada ya ng'ombe walionona huja waliokondeana.Avumilie tu dada.
 
Back
Top Bottom