Kweli kabisa mkuuDunia ndio ilivyo watu watakukumbatia kama wana manufaa na wewe tofauti na hapo wewe jitafute tu hadi ujipate
Hata kasesela aliwahi kulalamika hivyo ,duniani hakuna urafiki wa kudumu bali masilahi tu ,hapo ulipo hangaikia familia yako tu usitegemee ukiwa haupo kuna rafiki atawasaidia watoto wako.
Nilimsikiliza Bwana Madaraka Nyerere akilalamika kwamba muda Huwa awanapiga simu na viongozi wa serikali kama DC, RC, DED, mawaziri n.k hawapokelei simu
Kwakweli alijitahidi sana pamoja na mapungufu yake kibinaadamuSo Ukiona Mwana Siasa Mzalendo kwa Nchi yake Afrika anageuka Fisadi- dont complain!! - Nyerere ata NBC au uko Uswiss au Dubai akuwa na acc! Na walq akuchia watoto wake mali za wizi👏👏. Angetaka Almas Gold etc za TZ zingekuwa zake.... ajawai enda au mtuma mtoto wake nje ya Tanzania tukufu akapige deal! Mama Maria ata Kiduka cha Mangi(kile cha kitaani cha mchele na mafuta ya taa ana mpaka
Leo) na atokuwa nacho. Leo tumepoteza tunu kama Taifa tegemeo la Ukombozi wa Africa , Taifq lisilo na ukabila wana matabaka... na Mama etu wa sasa anajitaidi sana kuliko maelezo ila anapingwa na ata chama chake kinatamani abaki jikoni akipikia familia yake... kwani wana uchu wa ubepari na wapo tayari kuiuza Tanzania yetu😭
Baba yao ndo muasisi wa vyoteHivi hii familia inashida gani, Nyerere alifanya kazi yake kama Rais na alikua akilipwa ama kujilipa na maisha yako yaliendeshwa kwa kodi.
Tulishamalizana nae na % inayopata familia iridhike yanini kutaka kuabudiwa na kubemendwa milele kila kiongozi akitaka hivyo tutafika kweli? Hili si taifa la Kifalme.
Hii haina maana kwamba Tanganyika haikuwepo, hakutoka nayo Zanaki akaja kuimwaga hapa bara so watulie wapige kazi.Baba yao ndo muasisi wa vyote
their time has gone now ,let him rest this is another book ,and and may be this chapter didn't even know mwl nyerereNilimsikiliza Bwana Madaraka Nyerere akilalamika kwamba muda Huwa awanapiga simu na viongozi wa serikali kama DC, RC, DED, mawaziri n.k hawapokelei simu
Hadi analalamika wasanii kutumia jina la baba yake, Mbona familia ya Dangote hawalalamiki Kwa Diamond platnumZ, Mbona familia ya Bakhresa hawalalamiki Kwa Harmonize.
Yaani Nyerere ambaye kila pesa ina picha yake, watoto wake hawapati ushirikiano na pesa wanaotafuta na wanaiomba bila shaka wananyimwa
Tuseme kama Leo RC kama Bashite, Sabaya, Jokate,Chalamika hawapokei simu za watoto wa Nyerere au mama Maria Nyerere😅.
Nyerere tunaambiwa ndo baba wa Taifa, na kila siku viongozi wanamuimba kuwa ndo kila kitu.
Soma Pia: Kumbukizi ya Nyerere: Familia ya Mwalimu Nyerere yawataka wasanii kuacha kutumia jina la Baba wa Taifa kama ubin wao
Chonde chonde nyie viongozi pokeeni simu za familia ya Nyerere. Wapeni msaada na kila kitu, maana baba yake ndo aliweka misingi ya vyote hivi
Hii haina maana kwamba Tanganyika haikuwepo, hakutoka nayo Zanaki akaja kuimwaga hapa bara so watulie wapige kazi
Tanganyika mngekuwa watumwaHii haina maana kwamba Tanganyika haikuwepo, hakutoka nayo Zanaki akaja kuimwaga hapa bara so watulie wapige kazi.
Kivipi mdau, unaweza kufafanua?Mzee wao alikua mshenzi sana
Dogo nakumaindigi sana tangu humshutumu humu Bon Yai anahusika na kifo cha Ali kibao.Nakuelewa sana mkuu
Ni aibu Kwa familia ya Nyerere kubishana kuhusu jina na Steve Nyerere
Ila ndo ivo serikali iwahudumie kulipa fadhila za baba yao
Tungekua na nafuu kuliko hii katiba na Serkali aliyowapa CCM kama zawadi ya kudumu.Tanganyika mngekuwa watumwa
Umenipa shutuma nzito mkuuDogo nakumaindigi sana tangu humshutumu humu Bon Yai anahusika na kifo cha Ali kibao.
Wapokee simu yake ili iweje?ameifanyia ni ni nchi? Baba yake ndio alifanyia nchi mskubwa,hawa watoto wake ni loosers watupu, magenda eka, anataka nchi imchukulie kama mtoto wa mfalme;too bad, Nyerere was not a saint,Nilimsikiliza Bwana Madaraka Nyerere akilalamika kwamba muda Huwa awanapiga simu na viongozi wa serikali kama DC, RC, DED, mawaziri n.k hawapokelei simu
Hadi analalamika wasanii kutumia jina la baba yake, Mbona familia ya Dangote hawalalamiki Kwa Diamond platnumZ, Mbona familia ya Bakhresa hawalalamiki Kwa Harmonize.
Yaani Nyerere ambaye kila pesa ina picha yake, watoto wake hawapati ushirikiano na pesa wanaotafuta na wanaiomba bila shaka wananyimwa
Tuseme kama Leo RC kama Bashite, Sabaya, Jokate,Chalamika hawapokei simu za watoto wa Nyerere au mama Maria Nyerere😅.
Nyerere tunaambiwa ndo baba wa Taifa, na kila siku viongozi wanamuimba kuwa ndo kila kitu.
Soma Pia: Kumbukizi ya Nyerere: Familia ya Mwalimu Nyerere yawataka wasanii kuacha kutumia jina la Baba wa Taifa kama ubin wao
Chonde chonde nyie viongozi pokeeni simu za familia ya Nyerere. Wapeni msaada na kila kitu, maana baba yake ndo aliweka misingi ya vyote hivi
Nimekufananisha aseeUmenipa shutuma nzito mkuu
Sijawahi kuandika suala la kifo cha Mzee Kibao humu
Na wahusika siwajui kabisa
Tungoje tu mamlaka zilete majibu
Sijawahi kuhusisha kifo cha Mzee Kibao na Bon yai
Wacha hizo wewe! Mzee Nyerere akiwa mshenzi libaba lako litakuwaje?Mzee wao alikua mshenzi sana
Kama ulikua mke wa Nyerere sema ila huyo mzee ni mshenzi mmoja tu unamtetea ulikua mke wake niniWacha hizo wewe! Mzee Nyerere akiwa mshenzi libaba lako litakiwaje?