Dunia haiko fair, leo mtoto wa Nyerere analalamika watu Serikali hawapokei simu za familia ya Nyerere

Dunia ndio ilivyo watu watakukumbatia kama wana manufaa na wewe tofauti na hapo wewe jitafute tu hadi ujipate
Hata kasesela aliwahi kulalamika hivyo ,duniani hakuna urafiki wa kudumu bali masilahi tu ,hapo ulipo hangaikia familia yako tu usitegemee ukiwa haupo kuna rafiki atawasaidia watoto wako.
Kweli kabisa mkuu
 
Nilimsikiliza Bwana Madaraka Nyerere akilalamika kwamba muda Huwa awanapiga simu na viongozi wa serikali kama DC, RC, DED, mawaziri n.k hawapokelei simu

Hivi ndivyo inapaswa kuwa...

Baba akiwa Rais unapata upendeleo, baba kamaliza kipindi cha Urais ungali unapata upendeleo, baba kafariki ungali bado unataka upendeleo??
 
So Ukiona Mwana Siasa Mzalendo kwa Nchi yake Afrika anageuka Fisadi- dont complain!! - Nyerere ata NBC au uko Uswiss au Dubai akuwa na acc! Na walq akuchia watoto wake mali za wizi👏👏. Angetaka Almas Gold etc za TZ zingekuwa zake.... ajawai enda au mtuma mtoto wake nje ya Tanzania tukufu akapige deal! Mama Maria ata Kiduka cha Mangi(kile cha kitaani cha mchele na mafuta ya taa ana mpaka
Leo) na atokuwa nacho. Leo tumepoteza tunu kama Taifa tegemeo la Ukombozi wa Africa , Taifq lisilo na ukabila wana matabaka... na Mama etu wa sasa anajitaidi sana kuliko maelezo ila anapingwa na ata chama chake kinatamani abaki jikoni akipikia familia yake... kwani wana uchu wa ubepari na wapo tayari kuiuza Tanzania yetu😭
Kwakweli alijitahidi sana pamoja na mapungufu yake kibinaadamu
 
Hivi hii familia inashida gani, Nyerere alifanya kazi yake kama Rais na alikua akilipwa ama kujilipa na maisha yako yaliendeshwa kwa kodi.
Tulishamalizana nae na % inayopata familia iridhike yanini kutaka kuabudiwa na kubemendwa milele kila kiongozi akitaka hivyo tutafika kweli? Hili si taifa la Kifalme.
 
Baba yao ndo muasisi wa vyote
 
Nilimsikiliza Bwana Madaraka Nyerere akilalamika kwamba muda Huwa awanapiga simu na viongozi wa serikali kama DC, RC, DED, mawaziri n.k hawapokelei simu

Hadi analalamika wasanii kutumia jina la baba yake, Mbona familia ya Dangote hawalalamiki Kwa Diamond platnumZ, Mbona familia ya Bakhresa hawalalamiki Kwa Harmonize.

Yaani Nyerere ambaye kila pesa ina picha yake, watoto wake hawapati ushirikiano na pesa wanaotafuta na wanaiomba bila shaka wananyimwa

Tuseme kama Leo RC kama Bashite, Sabaya, Jokate,Chalamika hawapokei simu za watoto wa Nyerere au mama Maria Nyerere😅.

Nyerere tunaambiwa ndo baba wa Taifa, na kila siku viongozi wanamuimba kuwa ndo kila kitu.

Soma Pia: Kumbukizi ya Nyerere: Familia ya Mwalimu Nyerere yawataka wasanii kuacha kutumia jina la Baba wa Taifa kama ubin wao

Chonde chonde nyie viongozi pokeeni simu za familia ya Nyerere. Wapeni msaada na kila kitu, maana baba yake ndo aliweka misingi ya vyote hivi
their time has gone now ,let him rest this is another book ,and and may be this chapter didn't even know mwl nyerere
 
Nilimsikiliza Bwana Madaraka Nyerere akilalamika kwamba muda Huwa awanapiga simu na viongozi wa serikali kama DC, RC, DED, mawaziri n.k hawapokelei simu

Hadi analalamika wasanii kutumia jina la baba yake, Mbona familia ya Dangote hawalalamiki Kwa Diamond platnumZ, Mbona familia ya Bakhresa hawalalamiki Kwa Harmonize.

Yaani Nyerere ambaye kila pesa ina picha yake, watoto wake hawapati ushirikiano na pesa wanaotafuta na wanaiomba bila shaka wananyimwa

Tuseme kama Leo RC kama Bashite, Sabaya, Jokate,Chalamika hawapokei simu za watoto wa Nyerere au mama Maria Nyerere😅.

Nyerere tunaambiwa ndo baba wa Taifa, na kila siku viongozi wanamuimba kuwa ndo kila kitu.

Soma Pia: Kumbukizi ya Nyerere: Familia ya Mwalimu Nyerere yawataka wasanii kuacha kutumia jina la Baba wa Taifa kama ubin wao

Chonde chonde nyie viongozi pokeeni simu za familia ya Nyerere. Wapeni msaada na kila kitu, maana baba yake ndo aliweka misingi ya vyote hivi
Wapokee simu yake ili iweje?ameifanyia ni ni nchi? Baba yake ndio alifanyia nchi mskubwa,hawa watoto wake ni loosers watupu, magenda eka, anataka nchi imchukulie kama mtoto wa mfalme;too bad, Nyerere was not a saint,
Haya matoto ya nyerere ni vilaza ksbisa, karne hii jitu linasimama, linasema, watu wasitumie jina LA nyerere! What an idiot and a stupid mind, hakuna mwenye kumiriki jina,
 
Back
Top Bottom