Dunia haiko fair, leo mtoto wa Nyerere analalamika watu Serikali hawapokei simu za familia ya Nyerere

Je imezekana vipi watoto wote kuwa hivyo

This is not a karma.?
Ni mchanganyiko wa urithi wa kiakili ambao hasahasa ni kutoka upande wa mwanamke, malezi hasa ya mwanamke na malezi ya kijamaa kwenye familia hii ni maamuzi ya baba. Malezi ya kibepari yana uhalisia zaidi, heirs wa banking families, royal families na investors hufanya vizuri kuliko warithi wa kijamaaa.

Ukiachana na North Korea ambayo mtoto fulani wa head of state anarithi kiti cha ukuu wa nchi, sometimes ataua ndugu zake au kuwapoteza wasisikike. Hakuna nchi ya kijamaa utakayosikia mafanikio ya watoto wa mkuu wa zamani wa nchi. USSR haina mtoto yeyote wa mkuu aliyefanikiwa, Urusi vilevile mfano watoto wa Boris Yeltsin huwasikii, Putin muda sana hajawahi onekana na familia na kaaachana na mke wake miaka mingi, China hutosikia watoto wa Rais aliyepita.

Meanwhile mfano kwa Marekani kati ya marais 45 kwa karne zote, Rais pekee wa Marekani ambaye aliwahi pewa taraka maishani mwake ni Reagan, ambaye alimuoa Nancy baadae. Rais pekee kuwa bachelor maishani mwake ni James Buchanan, marais kadhaa walifiwa wake zao wakaoa tena. So utaoan kwa Marekani watoto wa Rais wanakuwa wasomi wazuri, wanasheria, wanajeshi, wafanyabiashara, wanasiasa.

Ujamaa mara nyingi hulenga kuacha mrithi mmoja wa madaraka, na kuacha vilaza wengine hawajui kitu kuhusu maisha. Ubepari hukuza watoto kwenye uhalisia wa maisha kama investing, management.
 
Nilitaka nishangae kwamba hiyo familia isipewe royalty. Ina maana hao watakula matunda mpaka kizazi chao kitapofutika ila nina wasiwasi mama Nyerere asipokuwepo wanaweza kupotezewa kabisa kuliko ilivyo sasa.
Hao watoto wanyerere sahivi wananufaika na uwepo wa mama yao siku asipokuwepo wajue mirija ya asali na maziwa inayowafikia sasa haitawafikia tena
 
Tueshimu mda Hilo tu
 
Mbona niliambiwa familia za Ma Rais hata kama wamekufa familia zao zinalipwa ela ndefu ? Iweje viongoz hawapokei smu zao maskin? Hao ni watot tuu ? Wajukuu si ndo watapigwa makofi??
 
Yaan familia ya Mwalimu inazidiwa pesa na mtot mdogo wa singida Isack,,mtoto mkuu wa watoza ushuru ana uwezo wa kua mgeni rasmi yuvisisihemu na akatoa pesa nzuri tuu.. jamani Ukiwa baba mridhishe mwanao kazi Yako ,kama baba Isack anavyo Fanya ,,hata mm nataka mwanangu aambatane na mm kupiga robari
Kwani hakuiba?, ameiba sana tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…