Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Si nimeona sehemu wanamsifia kwamba amestaafu pasipo kujenga nyumba ya kifahari tofauti na majizi mengine yaliyokuja baada yake.Pole yao kosa ni la mzee kukumbatia ujamaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si nimeona sehemu wanamsifia kwamba amestaafu pasipo kujenga nyumba ya kifahari tofauti na majizi mengine yaliyokuja baada yake.Pole yao kosa ni la mzee kukumbatia ujamaa
Shobo ndo mdudu gani...ukiandika humu utajibiwa...usitupangie cha kufanya...Narudia tena acha shobo sababu Mimi sijakushokea
Narudia tena acha shobo kama ambavyo wewe hutaki kupangiwa na Mimi sitaki unipangie Cha kuandika punguza shobo sijakushokea peleka mzigo kwa wengine unanukaShobo ndo mdudu gani...ukiandika humu utajibiwa...usitupangie cha kufanya...
Mzigo upi tena? Wa mavi au? Mbona sijanya...Narudia tena acha shobo kama ambavyo wewe hutaki kupangiwa na Mimi sitaki unipangie Cha kuandika punguza shobo sijakushokea peleka mzigo kwa wengine unanuka
Kwamba ni vichaa wanaotembea sio!!?Tatizo wewe unaongea mambo ya kutunga .
Watoto wa Nyerere ukitaka kuwajua vizuri waulize MTU Kama
Pascal Mayalla
Umeandika pumba na mashudu tupu.Kizazi Cha Nyerere kimehujumiwa sana hasa na wanamtandao!!
2015 jina la kwanza kikwete kulikata kwenye urais ni la Makongoro nyerere!
CCM ya kizazi kipya Cha wanamtandao hawakumpenda nyerere na ndio walioua vipaji vya watoto wa Nyerere!
Mbona Dr. Husein Mwinyi amelelewa na system Hadi akashika urais,Ina maana system imeshindwa kumlea hasta mjukuu TU was Nyerere au mtoto mmoja akawa hats pm!!?
CCM YA WANAOJIITA "CCM INA WENYEWE"INA KINYONGO NA HII FAMILIA!!
NIKIPENYA NITAWARUDISHA WAJUKUU WA NYERERE KUNDINI HATA RAIS KUTOKEA ILE FAMILIA NITAMWANDAA POLE POLE!!!
NACHUKIA SANA,NATAMANI KUMZABA KIKWETE KIBAO,SIO KWA CHUKI HIZI!!!
Kwamba ni vichaa wanaotembea sio!!?
Au walifanywa vichaa na system au!!?
Kuna shangazi yake kaka mkubwa alikua house girl was Nyerere akawa tasa Hadi kifo chale hakua na mtoto!!!
He walifanywa!!?
Makongoro na Madaraka mwaka 2020 kama sijakosea waligombea uongozi huko kwao MusomaKizazi Cha Nyerere kimehujumiwa sana hasa na wanamtandao!!
2015 jina la kwanza kikwete kulikata kwenye urais ni la Makongoro nyerere!
CCM ya kizazi kipya Cha wanamtandao hawakumpenda nyerere na ndio walioua vipaji vya watoto wa Nyerere!
Mbona Dr. Husein Mwinyi amelelewa na system Hadi akashika urais,Ina maana system imeshindwa kumlea hasta mjukuu TU was Nyerere au mtoto mmoja akawa hats pm!!?
CCM YA WANAOJIITA "CCM INA WENYEWE"INA KINYONGO NA HII FAMILIA!!
NIKIPENYA NITAWARUDISHA WAJUKUU WA NYERERE KUNDINI HATA RAIS KUTOKEA ILE FAMILIA NITAMWANDAA POLE POLE!!!
NACHUKIA SANA,NATAMANI KUMZABA KIKWETE KIBAO,SIO KWA CHUKI HIZI!!!
System haimuliki Hawa wanafamilia!wametelekezwa wajifie by natural selection!Makongoro na Madaraka mwaka 2020 kama sijakosea waligombea uongozi huko kwao Musoma
Cha ajabu wote waliangukia pua sijajua ilikuaje wote kugombea uongozi eneo moja
Ila kwann imulikwe baba yao kazi alifanya akalipwa na mshaharaSystem haimuliki Hawa wanafamilia!wametelekezwa wajifie by natural selection!
CCM ya Sasa haiwataki hao jamaa ,sijui wanaogopa kufunikwa!!?
Au wanaogopa wakiingia kwenye Baraza la mawaziri!
Upeo wako mdogo ndo maana huoni tatizo la misuse ya Steve Mendele kwa Jina la Nyerere!Nakuelewa sana mkuu
Ni aibu Kwa familia ya Nyerere kubishana kuhusu jina na Steve Nyerere
Ila ndo ivo serikali iwahudumie kulipa fadhila za baba yao
Kwani mwinyi senior hakulipwa!?mbona mwanae Kawa mkubwa,Riz one nae tunamuona yupo kwenye line!!Ila kwann imulikwe baba yao kazi alifanya akalipwa na mshahara
Ushenzi wake nini?Mzee wao alikua mshenzi sana
Jifunze kutumia H kwenye negation! Kiswahili si kigumu hivi! Dah!So Ukiona Mwana Siasa Mzalendo kwa Nchi yake Afrika anageuka Fisadi- dont complain!! - Nyerere ata NBC au uko Uswiss au Dubai akuwa na acc! Na wala akuchia watoto wake mali za wizi👏👏. Angetaka Almas Gold etc za TZ zingekuwa zake.... ajawai enda au mtuma mtoto wake nje ya Tanzania tukufu akapige deal! Mama Maria ata Kiduka cha Mangi(kile cha kitaani cha mchele na mafuta ya taa ana mpaka
Leo) na atokuwa nacho. Leo tumepoteza tunu kama Taifa tegemeo la Ukombozi wa Africa , Taifa lisilo na ukabila wana matabaka... na Mama etu wa sasa anajitaidi sana kuliko maelezo ila anapingwa na ata chama chake kinatamani abaki jikoni akipikia familia yake... kwani wana uchu wa ubepari na wapo tayari kuiuza Tanzania yetu😭
Makongoro mbona ana lipeperusha jina vizuri tuuKwani mwinyi senior hakulipwa!?mbona mwanae Kawa mkubwa,Riz one nae tunamuona yupo kwenye line!!
Alihitajika walau kijana mmoia ndani ya familia aandaliwe kufuata nyendo za baba yake kisasa has rushwa na ubadhirifu kutokomeza!
Kizazi Cha sokoine kikowapi!!?
Wazalendo watoto wao wanapotezwa,mafisadi watoto wao wanashika hatamu!!
Kuna tatizo mahali!!!
Kina Uhuru kenyata ni nembo wa Kenyatta senior!
Ccm chama changu hakijatutendea haki kabisa!!
Kama unakereka meza wembe- sio wote kiswahili ni Lugha yao ya kwanza! Elewa hilo! Kikubwa ujumbe ufikeJifunze kutumia H kwenye negation! Kiswahili si kigumu hivi! Dah!