Dunia haiko fair, leo mtoto wa Nyerere analalamika watu Serikali hawapokei simu za familia ya Nyerere

Shobo ndo mdudu gani...ukiandika humu utajibiwa...usitupangie cha kufanya...
Narudia tena acha shobo kama ambavyo wewe hutaki kupangiwa na Mimi sitaki unipangie Cha kuandika punguza shobo sijakushokea peleka mzigo kwa wengine unanuka
 
Kizazi Cha Nyerere kimehujumiwa sana hasa na wanamtandao!!

2015 jina la kwanza kikwete kulikata kwenye urais ni la Makongoro nyerere!

CCM ya kizazi kipya Cha wanamtandao hawakumpenda nyerere na ndio walioua vipaji vya watoto wa Nyerere!

Mbona Dr. Husein Mwinyi amelelewa na system Hadi akashika urais,Ina maana system imeshindwa kumlea hasta mjukuu TU was Nyerere au mtoto mmoja akawa hats pm!!?

CCM YA WANAOJIITA "CCM INA WENYEWE"INA KINYONGO NA HII FAMILIA!!

NIKIPENYA NITAWARUDISHA WAJUKUU WA NYERERE KUNDINI HATA RAIS KUTOKEA ILE FAMILIA NITAMWANDAA POLE POLE!!!

NACHUKIA SANA,NATAMANI KUMZABA KIKWETE KIBAO,SIO KWA CHUKI HIZI!!!
Umeandika pumba na mashudu tupu.
 
Makongoro na Madaraka mwaka 2020 kama sijakosea waligombea uongozi huko kwao Musoma
Cha ajabu wote waliangukia pua sijajua ilikuaje wote kugombea uongozi eneo moja
 
System haimuliki Hawa wanafamilia!wametelekezwa wajifie by natural selection!

CCM ya Sasa haiwataki hao jamaa ,sijui wanaogopa kufunikwa!!?

Au wanaogopa wakiingia kwenye Baraza la mawaziri!
 
Ila kwann imulikwe baba yao kazi alifanya akalipwa na mshahara
 
Kwani mwinyi senior hakulipwa!?mbona mwanae Kawa mkubwa,Riz one nae tunamuona yupo kwenye line!!

Alihitajika walau kijana mmoia ndani ya familia aandaliwe kufuata nyendo za baba yake kisasa has rushwa na ubadhirifu kutokomeza!

Kizazi Cha sokoine kikowapi!!?

Wazalendo watoto wao wanapotezwa,mafisadi watoto wao wanashika hatamu!!

Kuna tatizo mahali!!!

Kina Uhuru kenyata ni nembo wa Kenyatta senior!

Ccm chama changu hakijatutendea haki kabisa!!
 
So Ukiona Mwana Siasa Mzalendo kwa Nchi yake Afrika anageuka Fisadi- dont complain!! - Nyerere ata NBC au uko Uswiss au Dubai akuwa na acc! Na wala akuchia watoto wake mali za wizi👏👏. Angetaka Almas Gold etc za TZ zingekuwa zake.... ajawai enda au mtuma mtoto wake nje ya Tanzania tukufu akapige deal! Mama Maria ata Kiduka cha Mangi(kile cha kitaani cha mchele na mafuta ya taa ana mpaka
Leo) na atokuwa nacho. Leo tumepoteza tunu kama Taifa tegemeo la Ukombozi wa Africa , Taifa lisilo na ukabila wana matabaka... na Mama etu wa sasa anajitaidi sana kuliko maelezo ila anapingwa na ata chama chake kinatamani abaki jikoni akipikia familia yake... kwani wana uchu wa ubepari na wapo tayari kuiuza Tanzania yetu😭
Jifunze kutumia H kwenye negation! Kiswahili si kigumu hivi! Dah!
 
Kwani mwinyi senior hakulipwa!?mbona mwanae Kawa mkubwa,Riz one nae tunamuona yupo kwenye line!!

Alihitajika walau kijana mmoia ndani ya familia aandaliwe kufuata nyendo za baba yake kisasa has rushwa na ubadhirifu kutokomeza!

Kizazi Cha sokoine kikowapi!!?

Wazalendo watoto wao wanapotezwa,mafisadi watoto wao wanashika hatamu!!

Kuna tatizo mahali!!!

Kina Uhuru kenyata ni nembo wa Kenyatta senior!

Ccm chama changu hakijatutendea haki kabisa!!
Makongoro mbona ana lipeperusha jina vizuri tuu
Btw Jf oyeeeeeeeeee uongozi oyeeeeeeeee niwatajie na mimi jina langu 😄 jina langu oyeeeeeeeeee
 
Alitakiwa kuwachangamsha wangekuwa na biashara ambazo ni halali ,wangekuwa matajiri tu bila mali za wizi kuliko kulia wametupwa na viongozi.

Lakini naamini serikali ilishawasaidia na kuweka mkono wake ,sio wafa njaa
 
Nyerere hakuwaanda watoto wake waje wawe viongozi inawezekana pia hakutaka kuwaingiza watoto zake kwenye uongozi serikali
Kingine naona watoto wa Nyerere labda hawakuchangamka kuingia kwenye mabiashara ya nchi kama wanavyofanya watoto wa wenzao
Sahvi

Ova
 
Back
Top Bottom