Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna cha kulipa fadhila,Nakuelewa sana mkuu
Ni aibu Kwa familia ya Nyerere kubishana kuhusu jina na Steve Nyerere
Ila ndo ivo serikali iwahudumie kulipa fadhila za baba yao
Mwanaume yeyote anayekuwa busy sana kutimiza lengo fulani anatakiwa kuwa na mke shupavu atakayekaba majukumu ya kifamilia. Malezi ya watoto wa Nyerere yalipaswa kufanywa zaidi na mke wake ambaye alikuwa na muda na anashinda nao zaidi. Hii ni failure ya Mama Maria zaidi kuliko Mwalimu mwenyewe.nadhani mwalimu Nyerere alifanikiwa sana katika siasa nakuacha legacy kubwa tu .
Ila Mungu hawezi kukupa kila kitu
Kwenye upande wa familia hakufanikiwa Sana .
Ukitazama Nyerere na ukasikiliza watoto wake yaani hamna mfanano wowote hata kuelekeana.
Mambo mengine Kama ambavyo watu husema tuyaache Ila naamini neno kujitoa kwa nchi alilitimiza na nahisi labda majukumu ya kuipambania Tanzania na Africa yalimnyima muda wa kuwa karibu na familia yake.
Nilishangaa Sana kusikia habari za jina na nishangaa kuona watoto wababa wa Taifa wanagombea ubunge na kukatwa na wajumbe
Inafikirisha
Rip nyerere
Ndio wajifunze kwamba kuna wengine wanateseka zaidi ya hapo, Bora yeye viongozi hawapokei simu lkn wanahudumiwa vzr tuu yamkini kuna akina sisi pangu pakavu tia mchuzi..Nilimsikiliza Bwana Madaraka Nyerere akilalamika kwamba muda Huwa awanapiga simu na viongozi wa serikali kama DC, RC, DED, mawaziri n.k hawapokelei simu
Hadi analalamika wasanii kutumia jina la baba yake, Mbona familia ya Dangote hawalalamiki Kwa Diamond platnumZ, Mbona familia ya Bakhresa hawalalamiki Kwa Harmonize.
Yaani Nyerere ambaye kila pesa ina picha yake, watoto wake hawapati ushirikiano na pesa wanaotafuta na wanaiomba bila shaka wananyimwa
Tuseme kama Leo RC kama Bashite, Sabaya, Jokate,Chalamika hawapokei simu za watoto wa Nyerere au mama Maria Nyerere😅.
Nyerere tunaambiwa ndo baba wa Taifa, na kila siku viongozi wanamuimba kuwa ndo kila kitu.
Soma Pia: Kumbukizi ya Nyerere: Familia ya Mwalimu Nyerere yawataka wasanii kuacha kutumia jina la Baba wa Taifa kama ubin wao
Chonde chonde nyie viongozi pokeeni simu za familia ya Nyerere. Wapeni msaada na kila kitu, maana baba yake ndo aliweka misingi ya vyote hivi
Ile taasisi ya Mwl Nyerere nani anaiendesha na faida yake ikojeNilimsikiliza Bwana Madaraka Nyerere akilalamika kwamba muda Huwa awanapiga simu na viongozi wa serikali kama DC, RC, DED, mawaziri n.k hawapokelei simu
Hadi analalamika wasanii kutumia jina la baba yake, Mbona familia ya Dangote hawalalamiki Kwa Diamond platnumZ, Mbona familia ya Bakhresa hawalalamiki Kwa Harmonize.
Yaani Nyerere ambaye kila pesa ina picha yake, watoto wake hawapati ushirikiano na pesa wanaotafuta na wanaiomba bila shaka wananyimwa
Tuseme kama Leo RC kama Bashite, Sabaya, Jokate,Chalamika hawapokei simu za watoto wa Nyerere au mama Maria Nyerere😅.
Nyerere tunaambiwa ndo baba wa Taifa, na kila siku viongozi wanamuimba kuwa ndo kila kitu.
Soma Pia: Kumbukizi ya Nyerere: Familia ya Mwalimu Nyerere yawataka wasanii kuacha kutumia jina la Baba wa Taifa kama ubin wao
Chonde chonde nyie viongozi pokeeni simu za familia ya Nyerere. Wapeni msaada na kila kitu, maana baba yake ndo aliweka misingi ya vyote hivi
Balaa SanaaNilimsikiliza Bwana Madaraka Nyerere akilalamika kwamba muda Huwa awanapiga simu na viongozi wa serikali kama DC, RC, DED, mawaziri n.k hawapokelei simu
Hadi analalamika wasanii kutumia jina la baba yake, Mbona familia ya Dangote hawalalamiki Kwa Diamond platnumZ, Mbona familia ya Bakhresa hawalalamiki Kwa Harmonize.
Yaani Nyerere ambaye kila pesa ina picha yake, watoto wake hawapati ushirikiano na pesa wanaotafuta na wanaiomba bila shaka wananyimwa
Tuseme kama Leo RC kama Bashite, Sabaya, Jokate,Chalamika hawapokei simu za watoto wa Nyerere au mama Maria Nyerere😅.
Nyerere tunaambiwa ndo baba wa Taifa, na kila siku viongozi wanamuimba kuwa ndo kila kitu.
Soma Pia: Kumbukizi ya Nyerere: Familia ya Mwalimu Nyerere yawataka wasanii kuacha kutumia jina la Baba wa Taifa kama ubin wao
Chonde chonde nyie viongozi pokeeni simu za familia ya Nyerere. Wapeni msaada na kila kitu, maana baba yake ndo aliweka misingi ya vyote hivi
Kwani hakuiba?, ameiba sana tu.Kwaiyo angeiba?
Huyo kama dish limeyumba kimtindo...Mwenye picha ya huyo madaraka atume
Sasa awe mpole hakuna mtu wa kukuonea huruma kwa uzembe wako maisha ni vita muraInaendeshwa na watu walioona fursa
Kwani makongoro Nyerere sio mtoto wa Nyerere?Nilimsikiliza Bwana Madaraka Nyerere akilalamika kwamba muda Huwa awanapiga simu na viongozi wa serikali kama DC, RC, DED, mawaziri n.k hawapokelei simu
Hadi analalamika wasanii kutumia jina la baba yake, Mbona familia ya Dangote hawalalamiki Kwa Diamond platnumZ, Mbona familia ya Bakhresa hawalalamiki Kwa Harmonize.
Yaani Nyerere ambaye kila pesa ina picha yake, watoto wake hawapati ushirikiano na pesa wanaotafuta na wanaiomba bila shaka wananyimwa
Tuseme kama Leo RC kama Bashite, Sabaya, Jokate,Chalamika hawapokei simu za watoto wa Nyerere au mama Maria Nyerere😅.
Nyerere tunaambiwa ndo baba wa Taifa, na kila siku viongozi wanamuimba kuwa ndo kila kitu.
Soma Pia: Kumbukizi ya Nyerere: Familia ya Mwalimu Nyerere yawataka wasanii kuacha kutumia jina la Baba wa Taifa kama ubin wao
Chonde chonde nyie viongozi pokeeni simu za familia ya Nyerere. Wapeni msaada na kila kitu, maana baba yake ndo aliweka misingi ya vyote hivi
Nilitaka nishangae kwamba hiyo familia isipewe royalty. Ina maana hao watakula matunda mpaka kizazi chao kitapofutika ila nina wasiwasi mama Nyerere asipokuwepo wanaweza kupotezewa kabisa kuliko ilivyo sasa.Hivi nyie mnaifahamu familia ya Nyerere au mpo hapa kuchangamsha genge? Familia ya Nyerere haina shida na kamwe haitakuja kuwa na shida. Hao watoto wanapiga kelele kwa shida moja tu ya kutaka kusikilizwa na sio shida ya njaa ya hela. Mwanao unaweza kumpa kila kitu lakini akikuita 'baba! Baba!" alafu ukampotezea utakuwa umemuumiza sana na kumnyanyasa kisaikolojia. Watoto wa Nyerere wanataka kila wakikohoa watetemekewe kitu ambacho hakiwezekani. Kuhusu kufanikiwa, Nyerere amefanikiwa sana na ataendelea kufanikiwa na kuenziwa vizazi hadi vizazi pindi nchi idumupo! Legacy yake inaishi katika nyanja zote kisiasa, kielimu, kiuchumi, kiungozi, kiuzalendo, nk. Hakutatokea mtu nchi hii akashika dola hasipotembelea nyota Nyerere!
Alikupiga pu.mbu nini?Mzee wao alikua mshenzi sana
Wewe ni Mke wakeAlikupiga pu.mbu nini?