Tusi liko wapi?Duuh una mitusi!!
Huu ndio ukweli kabisa anapaswa akubaliane naoMwambie tu. Ila jiandae kuumia maana inawezekana asiwe na hisia kama ulizonazo wewe juu yake
Kwa hadhi yako kuandika maneno nyege mshindo na pumbavu inasaundi matusiTusi liko wapi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Usiku huo wa manane? Hizo ndiyo ukisikia "nyege mshindo". Pumbavu kabisa.
Mtu anapendwa saa nne asubuhi.
Hayo si matusi ni hali ya kawaida.Kwa hadhi yako kuandika maneno nyege mshindo na pumbavu inasaundi matusi
[emoji1] [emoji1] eti neno kichwaHayo si matusi ni hali ya kawaida.
Ingekuwa kusema mpumbavu matusi basi Mkapa kaitukana chadema yote tena kwenye mkutano wa halaiki live kabisa. Lakini sijasikia hata kiongozi mmoja wa chadema kulalamika kuwa wametukanwa.
Kuhusu nyege kuna hata mnyama porini anaitwa nyege-re. Ni sifa ambayo ya kawaida sana.
Unajuwa hata neno kichwa linaweza kuwa tusi lakini ni kiungo muhimu cha wote. Ni matumizi ya maneno tu yanayoweza kubadili liwe au lisiwe tusi.
Hasira hasaraUsiku huo wa manane? Hizo ndiyo ukisikia "nyege mshindo". Pumbavu kabisa.
Mtu anapendwa saa nne asubuhi.
Bado aiseeLady in action hivi hujamwambia tu ?
Sent from my Falcon Supernova Pink Diamond iPhone 6 (Price: 95.5 Million U$)
Mpe fomula mkuu huyu bado kigoliUsiku huo wa manane? Hizo ndiyo ukisikia "nyege mshindo". Pumbavu kabisa.
Mtu anapendwa saa nne asubuhi.
Subiri Mwanaume aanze kukupenda mamii, utateseka wewe hadi huruma. Just show him some actions of love then msikilizie, let him make a move first. Asipofanya hivo tupia kwa dustbin utaumizwa mno. Wanaume walio wengi ukimwendea ukamweleza Hata kama hakupendi hatokubali kuachia mzigo kiulaini, huyo ni mbuzi kufia kwa muuza supu. Anaweza Hata akakukubali kwa kukuonea huruma Ila ukweli anaujua mwenyewe. Take care.. Usiharakie sex.. Haitokuacha salama. Bora kuachana na mtu kabla hakujawa na chemical bond.. You will thank me later.Mapenz ni nini jmn???
Nampenda nahisi moyo utasimama aisee ....akil aifanyi kazi kabisa...nifanyeje??! Kwann imetokea???
Dunia haiko fair kabisa
Nashindwa kumwambia jmn nifanyeje
Its serious love ....hali hii haijawahi nitokea tangu nimezaliwa
He's my best friend.. Close friend
Mtoa Post sijui kama aliisoma na kuielewa hii...jana kaweka uzi akilia...eti jamaa alimuapproach na kumla mara tatu ndani ya mwezi. Kisha wakaachana coz huyo mwanaume ni mwongoSubiri Mwanaume aanze kukupenda mamii, utateseka wewe hadi huruma. Just show him some actions of love then msikilizie, let him make a move first. Asipofanya hivo tupia kwa dustbin utaumizwa mno. Wanaume walio wengi ukimwendea ukamweleza Hata kama hakupendi hatokubali kuachia mzigo kiulaini, huyo ni mbuzi kufia kwa muuza supu. Anaweza Hata akakukubali kwa kukuonea huruma Ila ukweli anaujua mwenyewe. Take care.. Usiharakie sex.. Haitokuacha salama. Bora kuachana na mtu kabla hakujawa na chemical bond.. You will thank me later.
Post sent using JamiiForums mobile app
Kama njia zote zimekushinda mwandikie email umueleze hisia zako usubirie majibuMapenz ni nini jmn???
Nampenda nahisi moyo utasimama aisee ....akil aifanyi kazi kabisa...nifanyeje??! Kwann imetokea???
Dunia haiko fair kabisa
Nashindwa kumwambia jmn nifanyeje
Its serious love ....hali hii haijawahi nitokea tangu nimezaliwa
He's my best friend.. Close friend