Dunia haiko fair

Dunia haiko fair

Usiku huo wa manane? Hizo ndiyo ukisikia "nyege mshindo". Pumbavu kabisa.

Mtu anapendwa saa nne asubuhi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We mhenga unaniachaga hoi asee

- KANA -
 
My advice,

Change your name to wishful lady!

That name Lady in action doesn't suit your character!

We only live once, but if do it correctly, once is enough!
Otherwise, you'll die with regrets instead of memories.

Just crack the ice baby girl.

- KANA -
 
Kwa hadhi yako kuandika maneno nyege mshindo na pumbavu inasaundi matusi
Hayo si matusi ni hali ya kawaida.

Ingekuwa kusema mpumbavu matusi basi Mkapa kaitukana chadema yote tena kwenye mkutano wa halaiki live kabisa. Lakini sijasikia hata kiongozi mmoja wa chadema kulalamika kuwa wametukanwa.

Kuhusu nyege kuna hata mnyama porini anaitwa nyege-re. Ni sifa ambayo ya kawaida sana.

Unajuwa hata neno kichwa linaweza kuwa tusi lakini ni kiungo muhimu cha wote. Ni matumizi ya maneno tu yanayoweza kubadili liwe au lisiwe tusi.
 
[emoji1] [emoji1] eti neno kichwa
 
Lady in action hivi hujamwambia tu ?

Sent from my Falcon Supernova Pink Diamond iPhone 6 (Price: 95.5 Million U$)
 
Kuna teknik nataka nkuambie tu uifanye hahahah

Sent from my Falcon Supernova Pink Diamond iPhone 6 (Price: 95.5 Million U$)
 
Usisubutu kumwambia mwanaume unampenda,
Hawa viumbe hawatabiriki,

spend less, save more
 
Mapenz ni nini jmn???
Nampenda nahisi moyo utasimama aisee ....akil aifanyi kazi kabisa...nifanyeje??! Kwann imetokea???
Dunia haiko fair kabisa
Nashindwa kumwambia jmn nifanyeje
Its serious love ....hali hii haijawahi nitokea tangu nimezaliwa
He's my best friend.. Close friend
Subiri Mwanaume aanze kukupenda mamii, utateseka wewe hadi huruma. Just show him some actions of love then msikilizie, let him make a move first. Asipofanya hivo tupia kwa dustbin utaumizwa mno. Wanaume walio wengi ukimwendea ukamweleza Hata kama hakupendi hatokubali kuachia mzigo kiulaini, huyo ni mbuzi kufia kwa muuza supu. Anaweza Hata akakukubali kwa kukuonea huruma Ila ukweli anaujua mwenyewe. Take care.. Usiharakie sex.. Haitokuacha salama. Bora kuachana na mtu kabla hakujawa na chemical bond.. You will thank me later.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Heeh hongera kwa kupenda kiasi hicho, sasa kazana tu mhusika afahamu hisia zako.
 
Subiri Mwanaume aanze kukupenda mamii, utateseka wewe hadi huruma. Just show him some actions of love then msikilizie, let him make a move first. Asipofanya hivo tupia kwa dustbin utaumizwa mno. Wanaume walio wengi ukimwendea ukamweleza Hata kama hakupendi hatokubali kuachia mzigo kiulaini, huyo ni mbuzi kufia kwa muuza supu. Anaweza Hata akakukubali kwa kukuonea huruma Ila ukweli anaujua mwenyewe. Take care.. Usiharakie sex.. Haitokuacha salama. Bora kuachana na mtu kabla hakujawa na chemical bond.. You will thank me later.

Post sent using JamiiForums mobile app
Mtoa Post sijui kama aliisoma na kuielewa hii...jana kaweka uzi akilia...eti jamaa alimuapproach na kumla mara tatu ndani ya mwezi. Kisha wakaachana coz huyo mwanaume ni mwongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mapenz ni nini jmn???
Nampenda nahisi moyo utasimama aisee ....akil aifanyi kazi kabisa...nifanyeje??! Kwann imetokea???
Dunia haiko fair kabisa
Nashindwa kumwambia jmn nifanyeje
Its serious love ....hali hii haijawahi nitokea tangu nimezaliwa
He's my best friend.. Close friend
Kama njia zote zimekushinda mwandikie email umueleze hisia zako usubirie majibu
 
Huyu si ndio kaliwa mara 3 kaachwa, jana alileta mlisho nyuma wa hizi hisia zilipomfikisha!
 
Back
Top Bottom