Dunia haiko fair

kama huna uzuri na chura jiandae maumivu.......mimi demu akinitega hana hivo vitu.....namchinjia baharini
 
Acha tu ndugu yangu
Nimesoma thread zako za nyuma. Inaonekana ulitendwa miaka mitatu iliyopita na sasa umetendwa tena! Pole sana!

Kuna maisha nje ya mahusiano...maana usije kuwaza kujinyonga. Unaweza kutulia ukampata mume aliyetulia...na Hata usipompata bado maisha hayana budi kuendelea. Usijiaminishe kwamba ili uwe na furaha ni mpaka uwe kwenye mahusiano kwa sababu kuna wanaoteseka ilihali wako kwenye mahusiano.

Sasa tulia kwanza...usikurupuke kuingia kwenye mahusiano mengine. Jua kuwa YESU KRISTO anakupenda zaidi. Tafuta kumjia yeye na kulijua pendo lake.

Ukimjua Mungu...utajikuta umefika stage ya kusema BECAUSE HE LIVES I CAN FACE TOMORROW. Hautaogopa mabaya na wala hautamchukia aliyekutenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
yaani wewe ni mwnamme unampenda mwanamme mwenzako, au ni mwanamke unampenda mwanamke mwenzako?

Au kuna kitu sijaelewa hapa?
 
Au wewe ni mwanamke unampenda mwanamke mwenzako?

Au kuna kitu sijaelewa hapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…