Bi dentamol
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,018
- 2,130
- Thread starter
- #61
Acha tu ndugu yanguMtoa Post sijui kama aliisoma na kuielewa hii...jana kaweka uzi akilia...eti jamaa alimuapproach na kumla mara tatu ndani ya mwezi. Kisha wakaachana coz huyo mwanaume ni mwongo
Sent using Jamii Forums mobile app