Dunia haiko katika gereza itikadi za kiyahudi, kubali kataa kwa hoja, wote mnakaribishwa

Haya ni mambo ya imani tu,ila hayana uhalisia.
Mi nilishangaa kusoma kuwa kumbe miaka ya 1500 BC,egpyt empire ilitawala hadi maeneo ya Levant,hapo ni kabla hata moses hajazaliwa,walitawala hapo kwa miaka 500,
sasa ili watawale vizuri waligawa eneo la levant kama ifuatavyo,

1-Amuru-hili lilikua eneo la kaskazin ya mbali(far north),mfano maeneo kama allepo,der azo etc.

2-Pau-maeneo arround Damusca


3-Caanan-maeneo ya phoenesia(lebanon ya leo) na maeneo ya kusini palestina ya leo.

Sasa kumbe Caanan lilikuwa ni jina la province kama vile mbeya,shinyanga etc.

Sasa ukirudi katika bible,unasoma Noah akamzaa Ham ambae akamzaa caanan.

Kama kwamba caanan ni mtu na mwanzilishi wa nchi ya caanan na hivyo kuna kabila la caanan,
wakati ukweli ni kuwa caanan sio mtu,sio kabila na wala sio race,

ni sawa na useme ,Nyerere akamzaa Tanganyika na tanganyika akamzaa shinyanga na shinyanga akaondoka na kwenda kuanzisha mji wa shinyanga,
total nosense.

Yaani ukifuatilia kwa makini unagundua tuliingizwa chaka la hatari
 
Wayahudi ni wapi hasa ? Je, ni wale wananchi wanaokaa israel au tuwatambueje hasa ! Isije ikawa leo israel ina kaa mizungu mingine tu ambayo hasa ni miyahudi au asili yao !!!
 
Mwambie ndugu yako mtangoo, na wenzie hao
Asante Sana ndugu Elungata
 
Egypt stood, for uninterrupted 3000 years, as one of the ancient world’s superpowers.
 
Asante Sana elungata
 
Mi nimemjibu aliyesema dunia inaabudu hao wayahudi. Nazungumzia power. Yaani wako Na power kubwa sana basi mpk waabudiwe.
Wayahudi wanauwezo mkubwa katika uovu dadangu, I am talking from first hand experience
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…