Dunia haina usawa - hata wajinga kabisa wanapata pesa za hatari

Dunia haina usawa - hata wajinga kabisa wanapata pesa za hatari

FUSO

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Posts
34,181
Reaction score
41,563
Dunia hii haina usawa. hasa hasa hapa Africa yaani Tanzania..Unakuta mtu umesoma hadi Masters ama hata PhD ya sayansi sasa unajikuta unatungiwa sheria za nchi na form four na div 4.

Hii kwa kweli mimi binafsi inaniuma - inauma saana.

Sera za nchi huwa zinatungwa na watu wasomi makini.. siyo watu ambao wameiba kura huko then naingia bungeni kusonga ugali...kwa namna hii nchi kusogea kabisa...kabisa

Wana Sayansi ni muda wetu kusimama sasa
 
Kila mtu afanye kazi yake waspana ashike wa kugonga meza agonge.
 
Back
Top Bottom